Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa. Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea. Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila...
Naona huu uzi ushaanza kuleta kizaazaa, nilisema tangu mwanzo mimi.