Nampenda Mungu tu

Nampenda Mungu tu

Sisi sio mafala ila bado wanaumee wanaona hiivyoo.

Mi nampenda Mungu tu .
Ila Kuna mtu anaringa sana eti Kisa anamashangazi plus mke ila yote life na kitambii changu,

Ngoja mjerumani wangu aje nitatolewa tu mpenzi halafu tuone kama hutonimiss .

Mume wangu mwingine yupo tu,good day endelea kunipondea ila next year hesabu mie ni married woman
Akikupenda Mungu inatosha.
 
Limekukuta jambo?
 
Kuna somo bado hamjajifunza!!

MAHUSIANO yote Duniani hudumu pale mwanamke anapoamua kuwa nae no matter what!!

Wanaume sisi msimamo wa MAHUSIANO hatuna KABISA!

Warembo kibao wanazuzua mno mind!

Tunadumu KWA kuwajibika lakini moyoni kuna MAPICHA PICHA kibao na yanalewesha SANA!!

Naturally jogoo ni jogoo tu hana msimamo wa mitamba!

Dini na imani ni kimbilio walau kupunguza makali lakini BADO asili inatuumbua SANA!!!
 
Back
Top Bottom