Nampenda sana ila kwa hili naombeni maoni

Okay ushaeleweka kuwa wewe ni mtu wa fashion (wakisasa) na dress code anazopiga binti ni kama huzielewi

Ushawahi mtoa out siku moja aukasema bibie leo pesa hii hapa ebu vunja kabati chukua hii na hii?

Au ushawahi mletea zawadi ya nguo zile ambazo wewe unafikiri ndio zinazo weza kuku turn on ukiwa naye?
 
Ipo shida mahali, umempenda Kwa vitu temporary na sio permanent, utajuta in ur next chapter, someone who doesn't fit you in God's perspectives muache sio wako huyo. Wewe ni WA mataifa yeye ni mwana low profile. Utajuta tafuta wa aina yako
 
Nimeona upo 20s nikaona nikusamehe kwani bado una mengi ya kujifunza; Kuhusu mavazi sio issue kubwa kwani bado unanafasi ya kumbadilisha ukitaka. Unaonaje ukampeleka shopping ukamnunulia nguo mbili tatu unazozipenda uone kama hatazivaa? Akizivaa akapendeza mwelekeze kuwa unapenda design hizo...
Hawa viumbe muda mwingine hufundishwa kwa action (na ndicho wanapenda)
 
Habari wana JF

Nitangulize brief kuhusu mimi, mbali na aspects na changamoto nyingine za kimaisha kuvaa vizuri (smartness) ni priority kubwa kwangu. Sizungumzii gharama ya nguo bali nazungumzia mpangilio wa mavazi hata kama ni za mtumba.

Hali iko hivi, nina mahusiano na binti ambaye nipo naye kwa zaidi ya miez 8 sasa. Mimi na mwenza wangu ni vijana 20s ya kati, Dar es salaam.

Binti ni mzuri sana tu, sura, tabasamu, rangi, ana height na shape flan ambayo anaweza kuwa Model kama akiamua pia ni smart sana(usafi), japo kasoro za kibinadamu zipo na sina shida nazo kabisa mimi sijakamilika pia.

Shida kwangu ni kwamba, licha ya yote binti hayupo smart kimavazi yaani mpangilio wake wa nguo si mzuri kabisa. Ni kana kwamba anavaa nguo kujisitiri(nude) tu, anavaa katika namna ambayo inamfanya onekane older kuliko uhalisia. Mpaka kuna time nadhani labda huwa anavaa anachokiona mbele yake.
Kupendeza ni neno ambalo halipo katika kamusi yake.

Nampenda sana ila nakwazika sana na hii hali kiasi kwamba mapenzi yanapungua kwake,
nishajaribu kuzungumza nae na hakuna mabadiliko zaidi ya kumkwaza.

Nipo ndani ya mchezo sioni kila angle/kitu,
Naombeni maoni yenu tafadhali.

NB:
Maoni ya aina yoyote ruksa, Asanteni.
Mtatuprovoke asubuhi asubuhi...
Ulishajaribu kuwaza labda inawezekana amekuzidi maarifa fulani na hivyo hapo anakupotezea muda au mnapotezeana muda kuna sehemu anaenda hapo anapita
 
Habari wana JF

Nitangulize brief kuhusu mimi, mbali na aspects na changamoto nyingine za kimaisha kuvaa vizuri (smartness) ni priority kubwa kwangu. Sizungumzii gharama ya nguo bali nazungumzia mpangilio wa mavazi hata kama ni za mtumba.

Hali iko hivi, nina mahusiano na binti ambaye nipo naye kwa zaidi ya miez 8 sasa. Mimi na mwenza wangu ni vijana 20s ya kati, Dar es salaam.

Binti ni mzuri sana tu, sura, tabasamu, rangi, ana height na shape flan ambayo anaweza kuwa Model kama akiamua pia ni smart sana(usafi), japo kasoro za kibinadamu zipo na sina shida nazo kabisa mimi sijakamilika pia.

Shida kwangu ni kwamba, licha ya yote binti hayupo smart kimavazi yaani mpangilio wake wa nguo si mzuri kabisa. Ni kana kwamba anavaa nguo kujisitiri(nude) tu, anavaa katika namna ambayo inamfanya onekane older kuliko uhalisia. Mpaka kuna time nadhani labda huwa anavaa anachokiona mbele yake.
Kupendeza ni neno ambalo halipo katika kamusi yake.

Nampenda sana ila nakwazika sana na hii hali kiasi kwamba mapenzi yanapungua kwake,
nishajaribu kuzungumza nae na hakuna mabadiliko zaidi ya kumkwaza.

Nipo ndani ya mchezo sioni kila angle/kitu,
Naombeni maoni yenu tafadhali.

NB:
Maoni ya aina yoyote ruksa, Asanteni.
Ww kama mpenzi wake ni jukumu lako kumnunulia nguo unazoona zinampendeza ,hilo swala ndogo sana ,ingekua tabia kama ulevi, kukojoa kitandani ,matusi,...ningeona ni tatizo
 
Habari wana JF

Nitangulize brief kuhusu mimi, mbali na aspects na changamoto nyingine za kimaisha kuvaa vizuri (smartness) ni priority kubwa kwangu. Sizungumzii gharama ya nguo bali nazungumzia mpangilio wa mavazi hata kama ni za mtumba.

Hali iko hivi, nina mahusiano na binti ambaye nipo naye kwa zaidi ya miez 8 sasa. Mimi na mwenza wangu ni vijana 20s ya kati, Dar es salaam.

Binti ni mzuri sana tu, sura, tabasamu, rangi, ana height na shape flan ambayo anaweza kuwa Model kama akiamua pia ni smart sana(usafi), japo kasoro za kibinadamu zipo na sina shida nazo kabisa mimi sijakamilika pia.

Shida kwangu ni kwamba, licha ya yote binti hayupo smart kimavazi yaani mpangilio wake wa nguo si mzuri kabisa. Ni kana kwamba anavaa nguo kujisitiri(nude) tu, anavaa katika namna ambayo inamfanya onekane older kuliko uhalisia. Mpaka kuna time nadhani labda huwa anavaa anachokiona mbele yake.
Kupendeza ni neno ambalo halipo katika kamusi yake.

Nampenda sana ila nakwazika sana na hii hali kiasi kwamba mapenzi yanapungua kwake,
nishajaribu kuzungumza nae na hakuna mabadiliko zaidi ya kumkwaza.

Nipo ndani ya mchezo sioni kila angle/kitu,
Naombeni maoni yenu tafadhali.

NB:
Maoni ya aina yoyote ruksa, Asanteni.
Mpeleke shopping ukamnunulie unachotaka avae halafu uone. Hilo eneo sasa ni kazi yako kumbadilisha.
 
Wakati mwanaume flani anahangaika kumpata 'wife material' wenye tabia njema, heshima, utii na nk, kuna wengine wanahangaika na mavazi mabovu ya mwanamke huyo. Kijana, hebu kuwa makini kidogo, tafuta sababu zingine za kukufanya ukereke na sio mavazi.
 
Habari wana JF

Nitangulize brief kuhusu mimi, mbali na aspects na changamoto nyingine za kimaisha kuvaa vizuri (smartness) ni priority kubwa kwangu. Sizungumzii gharama ya nguo bali nazungumzia mpangilio wa mavazi hata kama ni za mtumba.

Hali iko hivi, nina mahusiano na binti ambaye nipo naye kwa zaidi ya miez 8 sasa. Mimi na mwenza wangu ni vijana 20s ya kati, Dar es salaam.

Binti ni mzuri sana tu, sura, tabasamu, rangi, ana height na shape flan ambayo anaweza kuwa Model kama akiamua pia ni smart sana(usafi), japo kasoro za kibinadamu zipo na sina shida nazo kabisa mimi sijakamilika pia.

Shida kwangu ni kwamba, licha ya yote binti hayupo smart kimavazi yaani mpangilio wake wa nguo si mzuri kabisa. Ni kana kwamba anavaa nguo kujisitiri(nude) tu, anavaa katika namna ambayo inamfanya onekane older kuliko uhalisia. Mpaka kuna time nadhani labda huwa anavaa anachokiona mbele yake.
Kupendeza ni neno ambalo halipo katika kamusi yake.

Nampenda sana ila nakwazika sana na hii hali kiasi kwamba mapenzi yanapungua kwake,
nishajaribu kuzungumza nae na hakuna mabadiliko zaidi ya kumkwaza.

Nipo ndani ya mchezo sioni kila angle/kitu,
Naombeni maoni yenu tafadhali.

NB:
Maoni ya aina yoyote ruksa, Asanteni.
Yaani jambo dogo kama kuvaa ndio unalileta huku?
Si umshauri avaaje

Aiseee.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Shida kwangu ni kwamba, licha ya yote binti hayupo smart kimavazi yaani mpangilio wake wa nguo si mzuri kabisa. Ni kana kwamba anavaa nguo kujisitiri(nude) tu, anavaa katika namna ambayo inamfanya onekane older kuliko uhalisia. Mpaka kuna time nadhani labda huwa anavaa anachokiona mbele yake.
Kupendeza ni neno ambalo halipo katika kamusi yake.
Unataka akiwa na wewe au mkiwa mnatembea awe anavaa hivi? Hujui km mmezaliwa na familia na malezi tofauti? Hujui kwamba alichofunzwa na wazazi wake sicho ulichofunzwa na wazazi wako?
Screenshot_20221129-103423.png
 
Habari wana JF

Nitangulize brief kuhusu mimi, mbali na aspects na changamoto nyingine za kimaisha kuvaa vizuri (smartness) ni priority kubwa kwangu. Sizungumzii gharama ya nguo bali nazungumzia mpangilio wa mavazi hata kama ni za mtumba.

Hali iko hivi, nina mahusiano na binti ambaye nipo naye kwa zaidi ya miez 8 sasa. Mimi na mwenza wangu ni vijana 20s ya kati, Dar es salaam.

Binti ni mzuri sana tu, sura, tabasamu, rangi, ana height na shape flan ambayo anaweza kuwa Model kama akiamua pia ni smart sana(usafi), japo kasoro za kibinadamu zipo na sina shida nazo kabisa mimi sijakamilika pia.

Shida kwangu ni kwamba, licha ya yote binti hayupo smart kimavazi yaani mpangilio wake wa nguo si mzuri kabisa. Ni kana kwamba anavaa nguo kujisitiri(nude) tu, anavaa katika namna ambayo inamfanya onekane older kuliko uhalisia. Mpaka kuna time nadhani labda huwa anavaa anachokiona mbele yake.
Kupendeza ni neno ambalo halipo katika kamusi yake.

Nampenda sana ila nakwazika sana na hii hali kiasi kwamba mapenzi yanapungua kwake,
nishajaribu kuzungumza nae na hakuna mabadiliko zaidi ya kumkwaza.

Nipo ndani ya mchezo sioni kila angle/kitu,
Naombeni maoni yenu tafadhali.

NB:
Maoni ya aina yoyote ruksa, Asanteni.
Sasa wewe unashindwaje kumchagulia na kumnunulia nguo nzuri ili apendeze unavyotaka wewe?

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, fanya kuni PM namba za binti ili nimuelekeze namna gani anatakiwa kuvaa. Mimi ni fashonisti na mtu wa massaji kwa ujumla
 
Back
Top Bottom