Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Ha ha ha umenikumbusha mbali Sana Mkuu.
Iko hivi Boss upendo wa kweli huwa hauna sababu. Simple as that.
Kuna hizi scenario
Mfano Mwenza wako kapata ajali kaungua na moto sehemu kubwa ya mwili wake au kapoteza baadhi ya viungo. Kawa kipofu masikio yamekatika, kakonda kinoma kutokana na stress hata avae nguo gani haimkai poa, havutii wala nini. Na vitu vingine kibao kama hivyo ila bado yupo hai
Je utasemaje hapo?
Hivyo kama unampenda mpende kweli, usingalie mavazi Boss. Show Love mwaga Upendo mpaka mtoto achanganyikiwe.
Kila la Kheri Mkuu.