Nampenda sana ila kwa hili naombeni maoni

Nampenda sana ila kwa hili naombeni maoni

Nimeona upo 20s nikaona nikusamehe kwani bado una mengi ya kujifunza; Kuhusu mavazi sio issue kubwa kwani bado unanafasi ya kumbadilisha ukitaka. Unaonaje ukampeleka shopping ukamnunulia nguo mbili tatu unazozipenda uone kama hatazivaa? Akizivaa akapendeza mwelekeze kuwa unapenda design hizo...
Hawa viumbe muda mwingine hufundishwa kwa action (na ndicho wanapenda)
Good point bro i'll take that.
 
Mnunulie mavazi unayotaka wewe avae, Yawezekana una complain kuhusu mavazi kumbe hata nguo za ndan hujawahi mnunulia
Nguo ya ndani ni kawida ila nikichukua point yako inabidi nimjazie kabati zima la nguo tofauti na time amby nengemnunulia nguo kwa kuwa ni zawad na ni nzuri na si kwa kuwa hapendezagi.
 
Ww kama mpenzi wake ni jukumu lako kumnunulia nguo unazoona zinampendeza ,hilo swala ndogo sana ,ingekua tabia kama ulevi, kukojoa kitandani ,matusi,...ningeona ni tatizo
Kamba hukatikia pembamba, mambo madogo sana yanavunja ndoa
 
Mpeleke shopping ukamnunulie unachotaka avae halafu uone. Hilo eneo sasa ni kazi yako kumbadilisha.
Wazo zuri ila ningependa apendeze kwa namna yake, cjui kuhus fashion za kike ila i can see mtu akipendeza
 
Mkuu achana na huo utoto aseee mavazi ni kitu cha kumaindi kweli????
 
Kwa vyovyote vile huyo binti atakuwa na sifa nyingine ya uchafu kama sio basi yeye ndivyo alivyo hata umnunulie nguo ya vp hapendezi
 
Mnunulie pamba kalii uone kama hajabadilika
 
Kwa vyovyote vile huyo binti atakuwa na sifa nyingine ya uchafu kama sio basi yeye ndivyo alivyo hata umnunulie nguo ya vp hapendezi
Safi sana kwa kuliona hilo hata mimi nimeanza kuhisi huwenda hata nifanye nin hatobadilika ndo alivyo
 
Back
Top Bottom