Nampenda sana ila kwa hili naombeni maoni

Ha ha ha umenikumbusha mbali Sana Mkuu.

Iko hivi Boss upendo wa kweli huwa hauna sababu. Simple as that.

Kuna hizi scenario
Mfano Mwenza wako kapata ajali kaungua na moto sehemu kubwa ya mwili wake au kapoteza baadhi ya viungo. Kawa kipofu masikio yamekatika, kakonda kinoma kutokana na stress hata avae nguo gani haimkai poa, havutii wala nini. Na vitu vingine kibao kama hivyo ila bado yupo hai
Je utasemaje hapo?

Hivyo kama unampenda mpende kweli, usingalie mavazi Boss. Show Love mwaga Upendo mpaka mtoto achanganyikiwe.

Kila la Kheri Mkuu.
 
Huyu mtoto hana pesa ya kumnunulia binti wa watu nguo, hata hicho kiasi kidogo alichonacho anaona kama vile akimfanyia shopping binti, atapoteza sana. Yuko na binti kwa maslahi ya kula mbususu tu, hakuna kingine. Na wala hana ndoto naye
 
 
Nmemwambia atafute hela maana haya yote unayo mwambia hajawah kuyafanya... Mtoto wa watu anamtesa bure, Bora awaachie wanaume wanaoweza m care mtoto
 
Mkuu inawezekana mkawa mnatofautiana vipaumbele na huyo bint lazima hilo uwelewe ,
Wewe ikawa kipaumbele chako kuvaa vizuri na kuonekana ,ila yeye akawa swala la mavazi au kupendeza si kipaumbele chake ,
Jaribu kukaa naye chini uwone mawazo yake ni wapi yanaelekea ,huwenda kuna vitu vya maana na vikubwa zaidi mwenzio akawa anavitazama ,
Na pia cha kukusaidia mkuu wengi wanataka wanawake ambao hawawekezi katika mavazi na vitu vya anasa ,ndomana unakuta wanaolewa ni watu wakawaida au wanaovaa kawaida ,maana katika maisha ili upige hatua kunahitaji uondokane na mambo ya anasa kwanza ili ujipange na kusimama imara ,Ndomana wengi wanataka wanawake wasiokuwa na mambo mengi ,yeye akisuka twende kilioni sawa ,tofauti na mwanamke ambaye kila wiki anasuka nywele za 50,000 ,kufanikiwa mkuu kunahitaji kujibana sana na hasa ukipata mwanamke ambaye hana makuu na mambo mengi
 
YYaanimapenzi yanapungua sababu hapangilii mavazi?

Anyways, good luck mdogo wangu kwa huyo utakayemtaka anayejua kupangilia viwalo
 
oi njoo tubadilishane kaka, nipe huyo nikupe wangu Bae Queen ndo anavyojiita akuoneshe atavyokuwa unavyotaka ila kwa hela yako.
 
U
Ulishampeleka shopping na kumshauri anunue nguo uzipendazo?

Pili unaweza kupanga na muuzaji nguo mqenye vimelea vya uanamitindo na ukamwambia naja na demu wangu nataka umshauri namna ya kupendeza kulingana na umbo na rangi yake.
Hapa kanwe hataruka viunzi....mpe muda mabadiliko huja taratiiibu sana
 
Model kama akiamua pia ni smart sana(usafi), japo kasoro za kibinadamu zipo na sina shida nazo kabisa mimi sijakamilika pia.
Hapa uliandika mwenyewe au shem alikupenyezea maandishi?
Anyway umeshasema huna shida na kasoro za kibinadamu maana hata wewe hujakamilika
 
Mkuu si ushasema kwenye Uzi wako kwamba kila mwanadamu Ana mapungufu Yake jamani!

Kwa hiyo mapungufu ya demu wako yapo kwenye mavazi na umesema unampenda pamoja na hayo mapungufu Yake.

Sasa unataka tukushauri Nini?
Hapa nazungumzia mapungufu ya kibaiolojia ambayo ni permanent ikiwa ni kasoro alizozaliwa au alizokumbna nazo kweny ukuaji (cna shida nazo hzo) lakin vitu kama confidence, tabia, uwoga, haiba etc. Ni vitu ambavyo vinaweza kubadilika, thts my problem.
 
Kama taifa na hili nalo mkalijadili.
 
Upo sahihi kulingana na umri wako, ntakupa huyu slay queen wangu, ww nipe huyo wife material nimuweke ndani.
Tunaishi kutokana na umri husika,kama wanavyosema "Let a kid be a kid" hata kwa old ones pia. Kwmba ishi umri wako, priorities zinachange kadri ninavyoongezek umri. Haitakuwa mwonekano tena but will b all about Family na tija zinazoenda na umri wangu
 
Umaridadi huficha umaskini bro , siyo necessary nguo za gharama ama kuvaa kama unapita on red carpet au unaenda bungeni. Just kependeza tu
 
Ipo shida mahali, umempenda Kwa vitu temporary na sio permanent, utajuta in ur next chapter, someone who doesn't fit you in God's perspectives muache sio wako huyo. Wewe ni WA mataifa yeye ni mwana low profile. Utajuta tafuta wa aina yako
Huwenda ukawa uko sahihi, labda sis ni watu wawili tofauti kwamba hatushabihiani. Lakin kpoint kuhusu haiba yake hakunifany kuwa wa mataifa. Nnachosema kinaonekana kw macho nataman ungeona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…