Phantom Kunai
Member
- Dec 2, 2017
- 23
- 30
- Thread starter
-
- #41
Good point bro i'll take that.Nimeona upo 20s nikaona nikusamehe kwani bado una mengi ya kujifunza; Kuhusu mavazi sio issue kubwa kwani bado unanafasi ya kumbadilisha ukitaka. Unaonaje ukampeleka shopping ukamnunulia nguo mbili tatu unazozipenda uone kama hatazivaa? Akizivaa akapendeza mwelekeze kuwa unapenda design hizo...
Hawa viumbe muda mwingine hufundishwa kwa action (na ndicho wanapenda)
Nguo ya ndani ni kawida ila nikichukua point yako inabidi nimjazie kabati zima la nguo tofauti na time amby nengemnunulia nguo kwa kuwa ni zawad na ni nzuri na si kwa kuwa hapendezagi.Mnunulie mavazi unayotaka wewe avae, Yawezekana una complain kuhusu mavazi kumbe hata nguo za ndan hujawahi mnunulia
Jaribu kumnunulia mikato unayopenda.Mtazamo mzuri ila jua pia maisha yanaenda mbele si nyuma.
Kamba hukatikia pembamba, mambo madogo sana yanavunja ndoaWw kama mpenzi wake ni jukumu lako kumnunulia nguo unazoona zinampendeza ,hilo swala ndogo sana ,ingekua tabia kama ulevi, kukojoa kitandani ,matusi,...ningeona ni tatizo
Wazo zuri ila ningependa apendeze kwa namna yake, cjui kuhus fashion za kike ila i can see mtu akipendezaMpeleke shopping ukamnunulie unachotaka avae halafu uone. Hilo eneo sasa ni kazi yako kumbadilisha.
Madogo yana makubwa ndani, vidogo vinaondoa furaha na amani kwa kuwa unaamini ni vidogo havina tija unavipuuza. Unajikuta una hasira hujui zinatoka wap kumbe madogo yanakutafuna.Yaani jambo dogo kama kuvaa ndio unalileta huku?
Si umshauri avaaje
Aiseee.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkuu, huyo bado ni mwanafunzi, tena wale wa Mabibo Chuoni[emoji23]Mkuu achana na huo utoto aseee mavazi ni kitu cha kumaindi kweli????
Watu hawasemagi vitu kama hiv kwa kuwa ni vidogo ila vinawatafuna sana tu, mimi nimefungukaMkuu achana na huo utoto aseee mavazi ni kitu cha kumaindi kweli????
Safi sana kwa kuliona hilo hata mimi nimeanza kuhisi huwenda hata nifanye nin hatobadilika ndo alivyoKwa vyovyote vile huyo binti atakuwa na sifa nyingine ya uchafu kama sio basi yeye ndivyo alivyo hata umnunulie nguo ya vp hapendezi
Wanafunzi ndo wenye haiba tu siyo, uvaaji wake upo off kabisa na hata sitak awe slay queenMkuu, huyo bado ni mwanafunzi, tena wale wa Mabibo Chuoni[emoji23]
Itabidi ninunue kabati zima sasaMnunulie pamba kalii uone kama hajabadilika