Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Akikusaliti msaliti..... Ukiona uwezi usaliti mbonde... kama uwez kumbonda tafuta mkali zaid ake... Pambana tafuta pesa ya kutosha... Alfu kaa umevaa miwani uone atavokuja na nziHaya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu