Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Njoo unitoe mafua, inatosha...😘basi Leo jioni nakuja jirani unipange vizuri,nikuletee nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo unitoe mafua, inatosha...😘basi Leo jioni nakuja jirani unipange vizuri,nikuletee nn
Bas nikija itabidi niondoke kesho jioni Tena,maana maji moto yaliyotiwa limao ni dose inayotakiwa unywe mfululizo ..tutaanzia jioni to jion kesho.Get well soon basNjoo unitoe mafua, inatosha...
Itapendeza sana jirani...Bas nikija itabidi niondoke kesho jioni Tena,maana maji moto yaliyotiwa limao ni dose inayotakiwa unywe mfululizo ..tutaanzia jioni to jion kesho.Get well soon bas
Muue!Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)
Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa kumuudhi. Hapo naweza mbembeleza hata week nikilia ndo ananisamehe kwa shingo upande sana.
Kiukweli nampenda na sipendi kumpoteza. Huwa namwambia basi anapo ni cheat awe makini nisiwe najua mwenzie anaumiza roho yangu anajibu sawa atajitahidi. Haupiti mwezi anarudia tena.
Nikimuuliza anakuwa mkali kuwa kwa nini namfuatilia na kumfanya akose uhuru.anasema mimi mlalamishi sana.
Sasa toka lasti wiki napiga simu hapokei.nimeenda anapoishi hayupo. Nimehangaika sana. Jana katuma msg kuwa hanitaki tena... Nmeumia sana kwa kweli nawaza nitaishi vipi nami nlishamzoea...natamani kunywa sumu. Hata sijui ipi ndo nzuri. Sijalala usiku kucha namuwazia Kidawa.