Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu
Akikusaliti msaliti..... Ukiona uwezi usaliti mbonde... kama uwez kumbonda tafuta mkali zaid ake... Pambana tafuta pesa ya kutosha... Alfu kaa umevaa miwani uone atavokuja na nzi
 
Wanaume tumebaki 10 tu Bongo...

Humu JF tuko wawili na wengine 8 wapo mikoa mbalimbali.
 
Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)
Punguza uboya kwenye mapenzi. Kuna mambo mengi ya kufanya acha kulilia mbususu. Hakupendi huyo
 
Mi mwanamke akinisaliti na mm namsaliti, naacha kumhudumia ila mbunye napiga
 
Hiv mkiwazaga ujinga wa kujiua huwa mnawafikiria wazazi waliohatarisha maishayao Ili uwe hai, mnakuwa mmejiandaa kuzikabili gadhabu za Mungu juu ya huo upuuzi wa kujiua?

Ukiamua kuwa kwenye mahusiano kubali Kuna kupendwa na Kuna kuumia haviepukiki kwani kabla ya kukutana nae ulikuwa unaishi vipi?
 
Nimesikitika sana tena sana kwa ujinga wako. Wewe n mwanaume kwa maumbile lakini si kitabia. Unatabia za kike ktk suala la mapenzi.

Nikuambie ukweli mwanamke havutiwi na mwanaume bwege zezeta. Akishajua huna tabia za kiume havutiwi na wewe. Nicheki PM
 
Jirani mbona kwa hasira hivi... Jirani naomba nijinyonge kwa ajili yako...
 
Daah bro pole sana, Kwanza ni Mambo ya kawaida tu kweny mapenzi hakuna Jambo jipya hapo, inabidi ujue kwamba huyo akupendi kwaiy jitahid tu kumsahau kidgokdog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…