Planned unamaanisha nini mahondaw?
hahahahha,....inawezekana anajibu lakini ame switch kwa ID nyingine...wanajuana hawa sheikh....ila huyu mtoa mada nae kwann hasemi kitu kakaa kimya... anasababisha ajali huku..!!!!
Hahaaaaa.kwanza mpwa umenitupa sana..hebu njoo inbox kuleMzee mwenzangu naona hapo uko kikazi zaidi...
Tatizo wewe babuu[emoji28]Basi ngoja nifanye mpango uje kwenye himaya yangu
Acha matusi mama yangu muache apumzike(RIP).
kwakweli hii ngoma ukiicheza vibaya utatenguka kiunoAnza mazoez..bro hii Ngoma si lele Mama. Ila naona intelligence imelega lega Mzee.huku suspect kabisaa hii mambo
Nina matatizo gani mimi mtumishi wa Mungu??Tatizo wewe babuu[emoji28]
Siamini kama Smart wako atakwazika na huu upuuzi ulioanzishwa na huyu mleta mada.Ndo upate uchungu kama ninaofeel hapa. anyway R.I.P mama Ivuga so sorry
Hivi mnajua vile today furahi day tuvokua tumeplan na smart ? what do you expect after all these shits??
Hawa mods hawa watakuwa wanalewa ma jeans na raba kutoka wolper shop..yaani uzi mwanana ule wanaufuta kwa nini?Ule uzi wetu wameufuta wa wolpa
hivi kumbe ni serious??mahondawPuuzi tu hao nia yao ni kuharibu mahusiano yangu na Smart
mbona mkali hivyo jamani? Simba ni mkali lakini ana watoto, tulia tuyajenge mama.Wee FORTALEZA umetumwa???
Kwanini unataka kuniharibia lakini???
Kwanini hivi lakini???
I joined jf 9th April 2013
All these years nilikuepo tu humu hakuna alieleta complain live live kwahiyo kipindi choote hiki lakini kwanini leo hivi mara vile??!
Kwanini maneno maneno na mambo ya kiswahili swahili yamekua mengi after having Smart911 in my hands?? ??? Dahhhhhhhhhhh
Anyway God knows
Smart911 I know nothing about this kwakweli kama unanihukumu nihukumu
Nadhani nia yao ya kunichafulia na kuniharibia tu imetimia .
Yaan hapa nishautafuta balaa,nimeudhika haswaa ,hapa nasubiria manhe aamkeHawa mods hawa watakuwa wanalewa ma jeans na raba kutoka wolper shop..yaani uzi mwanana ule wanaufuta kwa nini?
hivi kumbe ni serious??mahondaw
Hahahahaa.... you see?? Kila mtu alichukulia utani.hivi kumbe ni serious??mahondaw
Asante for Appreciation.Ndo upate uchungu kama ninaofeel hapa. anyway R.I.P mama Ivuga so sorry
Hivi mnajua vile today furahi day tuvokua tumeplan na smart ? what do you expect after all these shits??