sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Yes. Bora umsaidie bwana. Jf fisi wengi saana.mahondaw my dear cool down... Don't take serious
Nadhani jamaa anatania tu kama ilivo matani ya Jf sikuzote. Don't panic pls
Na bila shaka hata smart wako ni mtu muelewa na very smart kama ilivo I'd yake...
Mikiki hii mnaiweza wakongwe tuu