Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Mimi naona hapa tunachezewa akili tu!!

Shitukeni wanaJf mbona huyo jamaa yumo humu ana reply post zingine lakini huyo dada bado anamkwepa hahamjibu chochote mpaka sasa!!!!
Jamaa labda hayupo sawa na akijibu anaweza kuja na moto wa kifuu humu... ila huu uzi huu... ni kiboko!!!
 
Mimi naona hapa tunachezewa akili tu!!

Shitukeni wanaJf mbona huyo jamaa yumo humu ana reply post zingine lakini huyo dada bado anamkwepa hahamjibu chochote mpaka sasa!!!!
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. I know what I'm doing.
 
Sijatumwa ila nimejituma, huwa napenda kuumiza kichwa, achana na hao wengine w'end ndio imeanza njoo PM

Kwahiyo ndo kuamua kuniharibia tu ilimradi???
I love Smart911 much more sihitaji mwingine
Am satisfied Smart911 is giving me anything anything yani kuanzia gegedo classic and lots of materials with Smart911 am living luxurious life pesa ndo balaa sasa khakhaakhaa Smart911 Bosi mtoto teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lnitafute nini tena nyie bado sana
 
Mimi nataka hako kajamaa kawe house boy wetu pindi tutakapokuwa IBIZA
 
Hivi Ivuga umeanza lini kuwa mkarimu kiasi hiki???
Au wewe ndo FORTALEZA??
I doubt
Hapana. Mimi siku zote ni mkarimu.
Ila zamani nilikuwa naleta tu drama baada ya watu kuninyan'gana mtoto mzuri ww hapo.
Ila sikujua kuwa out of JF mna maisha yenu ndio maana nikawa naendeleza mzaha .
Ila ningejua kuwa ni serious nisingekuwa nakuzingua
 
Back
Top Bottom