Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hahahhaha... mdogomdogo, huwezi jua mipango ya shetani... unaweza kuangukiwa na fursa adimu bila kutegemeahahaha nakuona nakuona uko mubashara [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha... mdogomdogo, huwezi jua mipango ya shetani... unaweza kuangukiwa na fursa adimu bila kutegemeahahaha nakuona nakuona uko mubashara [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijatumwa ila nimejituma, huwa napenda kuumiza kichwa, achana na hao wengine w'end ndio imeanza njoo PMHivi wewe umetumwa?!? ???
Ushaniharibia satisfied??! Hapa najua team snitch wanakenua meno tu kana mwanamke anaekazwa
Jamaa labda hayupo sawa na akijibu anaweza kuja na moto wa kifuu humu... ila huu uzi huu... ni kiboko!!!Mimi naona hapa tunachezewa akili tu!!
Shitukeni wanaJf mbona huyo jamaa yumo humu ana reply post zingine lakini huyo dada bado anamkwepa hahamjibu chochote mpaka sasa!!!!
Naifuatilia kwa karibu sheikh??Shehe fursa hio
Bora mimi Paprika wangu ulinizoeza kuibiwa huwa naona kawaida, waibe tuu ili mradi wasiondoke nayo![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Smart911
Kuna mwizi huku
fanya hima kwa kweli tuonane chembaNimejaa tele kama pishi la mchele.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. I know what I'm doing.Mimi naona hapa tunachezewa akili tu!!
Shitukeni wanaJf mbona huyo jamaa yumo humu ana reply post zingine lakini huyo dada bado anamkwepa hahamjibu chochote mpaka sasa!!!!
Teh......Naifuatilia kwa karibu sheikh??
Sijatumwa ila nimejituma, huwa napenda kuumiza kichwa, achana na hao wengine w'end ndio imeanza njoo PM
Mkuu mimi nakwambia hawa ni watu wako pamoja wameamua kuja kucheza na akili za watu humu!!!Jamaa labda hayupo sawa na akijibu anaweza kuja na moto wa kifuu humu... ila huu uzi huu... ni kiboko!!!
Hebu mfungulie li thread upime upepo ka upo mwenyeweBora mimi Paprika wangu ulinizoeza kuibiwa huwa naona kawaida, waibe tuu ili mradi wasiondoke nayo![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ewaaaaa....now you are talking...Teh......
Dead balls specialist.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. I know what I'm doing.
Mmhh! Bado napenda ugali mwenzenu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hebu mfungulie li thread upime upepo ka upo mwenyewe
Mimi nataka hako kajamaa kawe house boy wetu pindi tutakapokuwa IBIZAKwahiyo ndo kuamua kuniharibia tu ilimradi???
I love Smart911 much more sihitaji mwingine
Am satisfied Smart911 is giving me anything anything yani kuanzia gegedo classic and lots of materials with Smart911 am living luxurious life pesa ndo balaa sasa khakhaakhaa Smart911 Bosi mtoto teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lnitafute nini tena nyie bado sana
Hapana. Mimi siku zote ni mkarimu.Hivi Ivuga umeanza lini kuwa mkarimu kiasi hiki???
Au wewe ndo FORTALEZA??
I doubt
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aya babyMimi ni babu ndio? Ila wewe unaweza kuniita baby...