Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Mahonda mpenzi naona unatumia nguvu kubwa kitu ambacho ni utani wa kawaida wa Jf...

Achana nao bwana,take it easy,try to relax. Labda kama hiyo picha ingekua yakwako halisi,ningeona kweli mleta uzi kadhamiria.

Usiwe mwepesi wa kukasirika na kutake serious vitu kama hivi. Unaharibu mood yako bure,usivipe vitu vidogo nafasi ya kufuta tabasamu lako wakati unauwezo wa kuvipotezea

BTW matani ya hapa Jf nadhani unayajua. Na huenda kweli kuna watu wanataka kukuharibia penzi lako kwa smart usiwape nafasi ya kutimiza azma yao kwa kupambana nao kwa kurushiana maneno ya hasira wewe focus na Mr wako,kua tulizo la moyo wake achana na hizi kelele za nje....
Naleta posa kesho kukipambazuka tu Valentina. Very smart. Mtu hupimwa akiwa na furaha sana au hasira sana.
 
Sikujua kuwa mahondaw ndiye mange kimabi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahha eti spanish... hahaha ndio maana ukaanzisha thread kqa id nyingine... ili upate sababu.
Acheni dramaa na movie kama kina uwoya
Ama kweli kuishi kwingi, kuona mengi.

Kuna mengine nilikuwa sijayaona bado... Naendelea kujifunza.
 
Mkuu matusi ulitukanwa yameniumiza sana hasa pale alipomgusa bi mkubwa kumbe hata hayupo duniani ndo maana mimi nitukane uwezavyo ila usimguse mama angu japo hayupo duniani... Daaah [emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee.... Mungu apitishe mbali...

Mama anauma asee...
 
unajua kilichofanyika leo kimesababisha athari sana na kama mpo kwenye jokes hebu jirekebisheni... nijuavyo mimi hapa JF wengi hatujuani na ndo maana nina uwezo wa kumtania yoyote.. mfano mzuri miss chagga muda mwingi namwita baby.. mara mke ila nje na JF sijawahi hata kumuona!!!
kama kuna mengine hebu jaribu ku'fix nje na JF mnaharibu sana wakuu...!!!!
Kiukweli hata mimi mpaka sasa sijaamini nachokisoma hapa...

Mtu anakasirika kwa kuwa mpenzi wake kaanzishiwa thread... yani kakasirika kiasi cha kucancel date...
Binti kapagawa kiasi cha kuachia matusi ya kutosha...

Mara mkasirikaji anaibuka kivingine kabisa... yani kama ishu ilikuwa ndogo, kwa namna navyomsoma.
Na mleta mada anapotea mazima!!

Very interesting!!

Nimeshashuhudia couple nyingi sana hapa JF. Wengine wameshaoana na wana familia zao. Ila hii nimeivulia kofia.
 
Smart911, naamini umekuwa sasa. Kama kweli unaenda kumvisha huyo mdada pete, umekuwa na pongezi.

One thing though, penzi lako lifanye private, najua penzi jipya lina raha yake lakini hivi mnavyoenda, you'll ruin everything. Huyo mkeo mtarajiwa lazima atongozwe, mengine utajua lakini mengine hutajua, ili kuepusha matatizo jaribu kuyafanya mapenzi yenu yawe yenu na sio public. Sio kazi rahisi ku-maintain mapenzi yaliyo public, uliza Beckham, Tiger woods etc watakuambia.

Kila la kheri katika maisha ya uchumba, hapo shetani ndio anaanza kazi, mtapata kila jaribu ili tu kuwatenganisha. Lakini ni nyie tu ndio wenye maamuzi ya mwisho.

Wekeni mahusiano yenu nje ya jf.
 
ni utoto na ushamba tu... mambo ya facebook yasiletwe humu bhana... kuna kila haja ya hawa wenzetu kutambua tofauti ya facebook na JF .... mahondaw na Smart911 hebu jaribuni kupevuka..!!!!
 
Smart911, naamini umekuwa sasa. Kama kweli unaenda kumvisha huyo mdada pete, umekuwa na pongezi.

One thing though, penzi lako lifanye private, najua penzi jipya lina raha yake lakini hivi mnavyoenda, you'll ruin everything. Huyo mkeo mtarajiwa lazima atongozwe, mengine utajua lakini mengine hutajua, ili kuepusha matatizo jaribu kuyafanya mapenzi yenu yawe yenu na sio public. Sio kazi rahisi ku-maintain mapenzi yaliyo public, uliza Beckham, Tiger woods etc watakuambia.

Kila la kheri katika maisha ya uchumba, hapo shetani ndio anaanza kazi, mtapata kila jaribu ili tu kuwatenganisha. Lakini ni nyie tu ndio wenye maamuzi ya mwisho.

Wekeni mahusiano yenu nje ya jf.
Ushauri kuntu...

Couples nyingi zilizoanza mahusiano hapa JF, zilibadili kabisa IDs zao ili kukwepa mambo kama haya...

Na kuna watu huku wameoana kabisa lakini huwezi jua.

Kama mimi na bibi yenu hapa tunataniana, ananisoma navotaniana na kutongozana na wajukuu zangu hapa na maisha yanasonga mbele.
 
Hao wasengenyaji tu hao hawana lolote kutaka kuniharibia tu .
Kwani hiyo pic aliyoweka ni wewe kweli tupia nyingine kama mbili tuone au mnatengeneza janja ya utapeli tuone kama wewe na mleta Uzi mna bifu kumbe ni janja ya biashara matangazo mana utapeli umekua mwingi sana mitandaoni
 
mahondaw hana sababu ya kufanya hayo yote, kwa faida ya nani... Akishafanya hivyo, whats next?

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom