Smart911, naamini umekuwa sasa. Kama kweli unaenda kumvisha huyo mdada pete, umekuwa na pongezi.
One thing though, penzi lako lifanye private, najua penzi jipya lina raha yake lakini hivi mnavyoenda, you'll ruin everything. Huyo mkeo mtarajiwa lazima atongozwe, mengine utajua lakini mengine hutajua, ili kuepusha matatizo jaribu kuyafanya mapenzi yenu yawe yenu na sio public. Sio kazi rahisi ku-maintain mapenzi yaliyo public, uliza Beckham, Tiger woods etc watakuambia.
Kila la kheri katika maisha ya uchumba, hapo shetani ndio anaanza kazi, mtapata kila jaribu ili tu kuwatenganisha. Lakini ni nyie tu ndio wenye maamuzi ya mwisho.
Wekeni mahusiano yenu nje ya jf.