Nampenda sana Nargis Mohamed

Ukiona tu unaanzishiwa Uzi jua moja wapo kati ya yafuatayo......

1. Una Kashfa mahala hasa ya Kimapenzi
2. Kuna Jambo baya Umefanyiwa
3. Kuna Mkubwa Serikalini / Mfanyabiashara mkubwa anakubandua
4. Unaandaliwa Kuchafuliwa Mitandaoni
5. Maisha yamekupiga
6. Umeshaathirika na Dally Kimoko ( UKIMWI )
7. Aliyekuanzishia Uzi anachokoza Watu wanaokujua Undani wako wafunguke japo Yeye katika Uzi anajifanya Kukusifu.
 
Huyo huyo, mcheki pasco akupe mastori mambo yalivyokuwa yakifanyika, jamaa alikuwa anatoa udhamini ili awe karibu na warembo wakiwa kambini then anapoint mmoja ole wake akatae, hata top ten haingii
Halafu si alikuwa na umeme!! Usinambie kawasambazia na umeme wa REA 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…