X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Huyo huyo, mcheki pasco akupe mastori mambo yalivyokuwa yakifanyika, jamaa alikuwa anatoa udhamini ili awe karibu na warembo wakiwa kambini then anapoint mmoja ole wake akatae, hata top ten haingii
Halafu si alikuwa na umeme!! Usinambie kawasambazia na umeme wa REA π€£
Wee huogopiii? [emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mdogo wangu.
Wasanii wa bongo karibia wote wameunguaKama ndio hivyo ma super woman wote wazuriiii wa bongo wameungua maana jamaa hakuna super woman alie muacha enzi zake...!
Wasanii wa bongo karibia wote wameungua
Muhaya yule anawapiga katerelo π€£π€£π€£π€£na jama kapita nao wote... siku ya msiba wake kuna madam mmoja nilikuwa nafanya nae kazi... alilia nusu azimie huyo mada ana watoto wawili wakiume aliozaa kwenye ndoa yake but siku hiyo alivyo mlilia Ruge nilipo watizama watoto wake vizuri niligundua wanafanana sana na mwambaπ€£π€£π€£
huyo madam alikuwa apendi niguse gari yake lakini siku hiyo alishindwa hata kuendesha gari... for the first time nikaiendesha kumrudisha kwake...! hakwenda kuzika ila aliomboleza mwezi mzima π€£ yule jamaa alikuwa ni sumaku ya Warembo... sijui alikuwa anawapa nini... hakuna mwanamke atakae liwa na Ruge harafu umwambie habari mbaya za ruge akuelewe...!
ref NANDYπ₯°π€£π₯°π€£π€©π€£
bwana π₯°π₯°π₯° nasikia amekupitia... π€Muhaya yule anawapiga katerelo π€£π€£π€£π€£
Na wanaume weusi watamu km sumaku tofauti na hii mibroila (weupe) muda wote inalamba lips na kujivunia rangi za kitimoto ππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Nani kanipitia tena huyo na tulikuwa tunaenda wapi.?? πbwana π₯°π₯°π₯° nasikia amekupitia... π€
bwana Ruge... mlikuwa naenda kwenye mto ngono huko bukobaNani kanipitia tena huyo na tulikuwa tunaenda wapi.?? π
Mxiewwww!! Ushakosa cha kucommentbwana Ruge... mlikuwa naenda kwenye mto ngono huko bukoba
π€£π€£π€£π€£Mxiewwww!! Ushakosa cha kucomment
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhaya yule anawapiga katerelo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wanaume weusi watamu km sumaku tofauti na hii mibroila (weupe) muda wote inalamba lips na kujivunia rangi za kitimoto [emoji13][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]