X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Huyo huyo, mcheki pasco akupe mastori mambo yalivyokuwa yakifanyika, jamaa alikuwa anatoa udhamini ili awe karibu na warembo wakiwa kambini then anapoint mmoja ole wake akatae, hata top ten haingii
sio mmoja yule mwamba alikuwa anawala wote na kila mmoja sijui alikuwa anawapiga sounds gani wote walikuwa huwaambii kitu kuhusu... huyo jamaa hata uende na sounds gani hukubaliwi🤣🤣🤣
na enzi hizo hakuna msanii mtangazaji maarufu ambae jamaa hajapita nae... na alikuwa akiachana na mtangazaji au muimbaji lazima atamtafutia mpinzani wake
na enzi hizo hakuna msanii mtangazaji maarufu ambae jamaa hajapita nae... na alikuwa akiachana na mtangazaji au muimbaji lazima atamtafutia mpinzani wake