Nampenda sana Nargis Mohamed

Nampenda sana Nargis Mohamed

Huyo huyo, mcheki pasco akupe mastori mambo yalivyokuwa yakifanyika, jamaa alikuwa anatoa udhamini ili awe karibu na warembo wakiwa kambini then anapoint mmoja ole wake akatae, hata top ten haingii
sio mmoja yule mwamba alikuwa anawala wote na kila mmoja sijui alikuwa anawapiga sounds gani wote walikuwa huwaambii kitu kuhusu... huyo jamaa hata uende na sounds gani hukubaliwi🤣🤣🤣

na enzi hizo hakuna msanii mtangazaji maarufu ambae jamaa hajapita nae... na alikuwa akiachana na mtangazaji au muimbaji lazima atamtafutia mpinzani wake​
 
hata mimi nilikuwa nampenda mno... hadi bint yangu nikampa jina lake... NARGIS🤣🤣🤣🤣
 
Wasanii wa bongo karibia wote wameungua
na jama kapita nao wote... siku ya msiba wake kuna madam mmoja nilikuwa nafanya nae kazi... alilia nusu azimie huyo mada ana watoto wawili wakiume aliozaa kwenye ndoa yake but siku hiyo alivyo mlilia Ruge nilipo watizama watoto wake vizuri niligundua wanafanana sana na mwamba🤣🤣🤣

huyo madam alikuwa apendi niguse gari yake lakini siku hiyo alishindwa hata kuendesha gari... for the first time nikaiendesha kumrudisha kwake...! hakwenda kuzika ila aliomboleza mwezi mzima 🤣 yule jamaa alikuwa ni sumaku ya Warembo... sijui alikuwa anawapa nini... hakuna mwanamke atakae liwa na Ruge harafu umwambie habari mbaya za ruge akuelewe...!

ref NANDY🥰🤣🥰🤣🤩🤣​
 
Muhaya yule anawapiga katerelo 🤣🤣🤣🤣
Na wanaume weusi watamu km sumaku tofauti na hii mibroila (weupe) muda wote inalamba lips na kujivunia rangi za kitimoto 😝🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Muhaya yule anawapiga katerelo 🤣🤣🤣🤣
Na wanaume weusi watamu km sumaku tofauti na hii mibroila (weupe) muda wote inalamba lips na kujivunia rangi za kitimoto 😝🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
bwana 🥰🥰🥰 nasikia amekupitia... 🤭
 
Muhaya yule anawapiga katerelo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wanaume weusi watamu km sumaku tofauti na hii mibroila (weupe) muda wote inalamba lips na kujivunia rangi za kitimoto [emoji13][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom