Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Nimetoka hivi kitaa kucheki mechi ya USM Alger na ZAMALEK. Nafika hapa home msosi hamna, njaa inauma ile mbaya yaani. Nikaingia jikoni, nikaanza kuseti mazingira(kupika NGUNA). Sasa wakati uji unatokota nikashika simu, shwaah! Nikaingia jf moja kwa moja. Nikabahatika kuuona huu uzi. Nilivyovisoma humu ndani! Nikainaimisha kichwa, sijalia ila nimetoa mach....Nzuri sana Emily magnus , wenzangu akina nani mkuu?
Kwanini mtu akisema hataki ndoa huwa anaonekana wa ajabu au anaambiwa anachukulia vitu too personal sana?
Ndoa sio ya kila mtu bro Chivundu Kama ndoa inakupa furaha, that’s okay
Ila sio lazima kila mtu aoe au aolewe
kwa sababu ndoa sio kipaumbele cha kila mtu
Marriage ni kama mkataba, na sio lazima kila mtu asaini huo mkataba. Muhimu ni kujiuliza
Una ndoa na una furaha? good
Upo single na unaenjoy maisha yako? bado good
Mwisho wa siku, happiness yako ndio muhimu kuliko kuishi kwa matarajio ya watu wengine
Mimi kitu nimeshindwa ni ku fake aisee
Unavyoniona ndio mimi binti S
Nimetoka hivi kitaa kucheki mechi ya USM Alger na ZAMALEK. Nafika hapa home msosi hamna, njaa inauma ile mbaya yaani. Nikaingia jikoni, nikaanza kuseti mazingira(kupika NGUNA). Sasa wakati uji unatokota nikashika simu, shwaah! Nikaingia jf moja kwa moja. Nikabahatika kuuona huu uzi. Nilivyovisoma humu ndani! Nikainaimisha kichwa, sijalia ila nimetoa mach....
Ngoja nisonge ugali nile, karibuni nyote.
Team kataa ndoa tuna hoja tusikilizwe👊ShesRise_1, kukataa au kuikubaki ndoa sio udhaifu, ni matakwa ya mtu.
Anaeitaka au anaeikataa ndoa wote wapo sahihi.
Ndoa inaweza isikupe furaha lakini ikawa katika hali ya kuvumiliwa na ikaendelea kuwepo, yaani ika balance.
Kwenye ndoa kuna mengi, ndio maana mimi nawaunga mkono team kataa ndoa, wana hoja. Siwabezi. 😁
Ila nawashangaa sana watu jinsi wanavyoitafsiri ndoa. Ila ngoja nifanye utafiti kamili. Nitawarudia ndani ya wiki hii.ShesRise_1, kukataa au kuikubaki ndoa sio udhaifu, ni matakwa ya mtu.
Anaeitaka au anaeikataa ndoa wote wapo sahihi.
Ndoa inaweza isikupe furaha lakini ikawa katika hali ya kuvumiliwa na ikaendelea kuwepo, yaani ika balance.
Kwenye ndoa kuna mengi, ndio maana mimi nawaunga mkono team kataa ndoa, wana hoja. Siwabezi.
Team kataa ndoa tuna hoja tusikilizwe👊
Mf; mimi mkweli na muwazi unafki siwezi ku fake ndio kabisa
Na ndoa inataka mambo kinyume na hayo je nitatoboa😅😅 sitoboi
Bora sasa nifanye hata kilimo cha mboga mboga
Ila nawashangaa sana watu jinsi wanavyoitafsiri ndoa. Ila ngoja nifanye utafiti kamili. Nitawarudia ndani ya wiki hii.
Panda kitandan ukakalie matrakon ukakande mgongoKamekuja weekend kunisalimia ila kana aibu wakuu hadi sasa kanajifanya kuchezea simu😍
View attachment 3586314
Raha ya ngoma ingia uchezeHapana, ndoa ndio inataka watu kama nyie WAKWELI na WAWAZI. Kama ukiwa mkweli na muwazi, na mwenzio akawa mkweli na muwazi basi mtaelewana. Shida inaanzia kinyume chake. 😁
Team kataa ndoa tuna hoja tusikilizwe👊
Mf; mimi mkweli na muwazi unafki siwezi ku fake ndio kabisa
Na ndoa inataka mambo kinyume na hayo je nitatoboa😅😅 sitoboi
Bora sasa nifanye hata kilimo cha mboga mbogaRaha ya ngoma ingia uchezeIla nawashangaa sana watu jinsi wanavyoitafsiri ndoa. Ila ngoja nifanye utafiti kamili. Nitawarudia ndani ya wiki hii.
Wanachangamsha jukwaa! Na usikute ni mtu mmoja mwenye ids nyingi za nyuzi za mitongozo sababu hata vichwa vya habari ni hivihivi.
Kama upepo tu.Unapendwa kupungwa bila kuonwa.Unampendaje mtu hujawahi kumuona?
Mi mwanaume angekua demu furesh, sio dhambi kupendwa, show love Kuna umri utafika, mambo ya kuambiwa nakupenda, yana adimika, ouhooowUnaonaje ukampa wewe maviungo ya kupewa bure haya ili mtuletee hormus tujionee yaliyomo🤭
Kwa vile ndoa yako ilikuwa ndivyo sivyo, huwezi generalise.Team kataa ndoa tuna hoja tusikilizwe👊
Mf; mimi mkweli na muwazi unafki siwezi ku fake ndio kabisa
Na ndoa inataka mambo kinyume na hayo je nitatoboa😅😅 sitoboi
Bora sasa nifanye hata kilimo cha mboga mboga
Lol you said it all brother!, Well 19 years isn’t a joke some ov us were still in school lols 😆 and still going strong some come, some go, we will go too but the vibe stays 😎Hahaha it's jf we get entertained after life pressures so nothing serious nothing personal as well! We get psycho relief for sometimes then go back "kupigwa"😂 while waiting for another good jf time next day!
So cool to be here, been in this for the last 19yrs 🤔 wamekuja wengine wameondoka😎
Anajua idadi kweli za ng’ombe huyu😕G
Usijari dada ang ila alete ngombe wetu ata mambo yakienda kombo tunapakuanzia