Zingatia:
1. Dhana ya kabila, ukoo au bari inabadilika kutoka majira hadi majira. Maana Machifu wao hakuna, teritoria zao hakuna tena, mila na desturi zizeyeyuka. Kilichobaki ni historia
2. Leo ukisema "wanyambo ni watu chini ya chifu X katika eneo Y" au "wahaya ni watu chini ya chifu V katika eneo W" unakuwa unachanganya "tenses".
3. Usahihi ni huu: "wanyambo walikuwa ni watu chini ya chifu X katika eneo Y" au "wahaya walikuwa ni watu chini ya chifu V katika eneo W."
4. Wahaya hawakuwa wanyambo na wanyambo hawakuwa wahaya
5. Kwa sasa tunao raia wa Tanzania