Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipo na ume-edit nakuonyesha sasahivi.Wapi?
Hakuna neno hilo hapo!
Kubali yaishe!
Lipo na ume-edit nakuonyesha sasahivi.
Bisha na hapa.Wapi?
Hakuna neno hilo hapo!
Kubali yaishe!
Kwahyo Wana kataa siyo muhaya au nn mam Amon
Naomba ufafanuzi
Angalia thread #67 nilipoquote thread yako uone nani Kati ya Mimi na wewe anafanya editing.Utakuwa unafanya editing wewe sasa hivi.
Sitakubali edited text!
Bisha na hapa.
Kuna Mzigua anaitwa Rugambwa.😄😄😄😄😄
Angalia thread #67 nilipoquote thread yako uone nani Kati ya Mimi na wewe anafanya editing.
Basi tumuambie mtu mmoja wa hapa aende thread #67 akaangalie...we ni muongo sana, umefanya editing then unajaribu kujustify kuwa hujaedit.Post zangu iko hapo juu.
Zilizo kwenye simu yako ni zako!
Kwani unapofanya quoting unakuwa huna power ya kufanya editing of quoted text?
Jaribu uone kama hutafanikiwa
Yule Askofu ambae alifanyiwa operation ya kichwa anaendeleaje jamani?
Idadi ya maaskofu ni uongo...wahaya bado ndo maaskofu wengi ukihesabu wote waliokuwepo...... wachaga wamekosea wapi? Ndio wanaongoza kwa idadi ya maaskofu, mapadre, masista, mashemasi, n.k. Anyway, uamuzi wa Papa ni alfa na omega; wanavyosema wao signature yake ni mwisho.
Si umesema wazigua Kuna Rugambwa according to post nilyoquote #67, onyesha Sasa prove nipo hapa.
I won't, nataka proof kwanza au ukiri kosa.Badili topiki
Taitu kalesaPosuta
Kwao ni bunena hapo bukoba mjini...
Cardinal Pengo ameniangusha personally. Alifanya mambo yake kibabe sana Jimno Kuu la Dar Es Salaam.
Kwao ni bunena hapo bukoba mjini...
Upadre wake ni wa jimbo la kayanga huko karagwe...
Ni sawa na mtu azaliwe njombe akasomee upadre na kuwa padre jimbo la Dar