Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

Ana mke na watoto wangapi?
 
Mama Amon, with due respect kubali kwamba kuna misinformations umetoa kwenye thread yako. Mtu mwenye hekima na msomi kama unavyojitanabaisha huwa anakiri kosa na siyo kuonekana “JOAT”. Ingekuwa hekima ungejiridhisha na details zote badala ya kushupaza shingo ili tu uonekane mshindi. Umenishangaza sana!
 
From above quote,
1. Rais wa TEC
2. Askofu mkuu

So hakunaga more seniors huko? You dont answer to nobody since you are a sovereign? Mimi nilifikiri those guys they report to Ruwaichi

Therefore that guy kuwa Cardinal basi Ruwaichi do surrender to the cardinal.
 

Hapana Ruwaichi utawala wake unakomea ndani ya jimbo kuu la Dar Es Salaam lakini pia kama Askofu Mkuu kuna majimbo ambayo anakuwa na sauti yaani yale majimbo ambayo yana constitute jimbo kuu la Dar Es Salaam mfano; Zanzibar, Morogoro, Tanga, Mahenge na Ifakara. Full stop
 
Una maanisha ana connection
 
Una maanisha ana connection
Sana hakuna Askofu ambaye anajulikana vatican kama huyu kutoka Tanzania. Lakini tusisahau ni msomi mzuri sana anajua lugha tofauti…… lakini alikuwa na advantage kubwa sana ya connection.
 
Ndani ya Kanisa Katoliki Tanzania hakuna Askofu aliyewahi kufanyiwa operesheni ya kihwa

Huo uushi niliusikia na kuufuatilia A to Z

Hadi nilimuuliza mhusika akanambia "wazushi hao"



Kumbe jamani [emoji2297][emoji2357]

Hiyo hila Mwenyezi Mungu ataingilia kati.!
 
Labda namba tatu ndo sawa mkuu. Zingine zote zina mushkeli kwani hao watu hasa wakatoliki wana chuki na watu wasiokuwa wao. Unajua kwa nini hawapendi mkristo asieykuwa wao kama Lowassa kuwa Rais?
 
Baada ya Kumpongeza Kardinali...
Uje na thread ingine sasa ya kumshambulia Rais Samia...

It is no surprising...
Samia amefanya ujinga lazima anyooshwe, kama unaweza msaidie kujibu maswali anayoulizwa..

Kadinali Rugambwa anastahili pongezi nyingi sana kabisa kabisa kwa hatua aliyofikia.
 
Una upeo mkubwa saana, hilo zee la uswahilini haliwezi kukuelewa.
 
Marekebisho kidogo
Huyu ni mdogo wa Rugambwa sr
Na ni wa BUNENA BUKOBA SIYO NYAISHOZI KAMA UNAVYOSEMA
 

Vyote tumemuachia DP Wedi aitekeleze ilani yetu. Aiseee.
 
Labda namba tatu ndo sawa mkuu. Zingine zote zina mushkeli kwani hao watu hasa wakatoliki wana chuki na watu wasiokuwa wao. Unajua kwa nini hawapendi mkristo asieykuwa wao kama Lowassa kuwa Rais?

Wewe ndiye huna uelewa sahihi.

Kanisa Katoliki kama taasisi ya kidini linayo mafundisho ya jamii pana kuhusu siasa za nchi yenye jumuiya mseto (plural society) kama iliyo kwa taasisi baki za kidini

Kwa mujibu wa KK kanuni za maadili asilia kuhusu hulka ya ubinadamu ndio kigawe kidogo cha shirika cha mafundisho ya dini zote

Kwa mujibu wa kanuni hii habari ya SASA NI ZAMU YA DINI/MADHEHEBU FULANI ni ujinga mtupu

Kwa hiyo KK halina shida nchi kuongozwa mtu kutoka dini yoyote iliradi awe na busara ya kuzingatia kanuni za maadili asilia kuhusu hulka ya ubinadamu
 
Haya Yote Hayati Rais Magufuli ageyafanya Kwa Fedha na wataalam wa Ndani.
Apumzike Kwa Amani.

Hongera Kardinali Rugambwa II
 

Unaongelea post ipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…