Vatican ikiongea vingine wote wana nyamaza.... wachaga wamekosea wapi? Ndio wanaongoza kwa idadi ya maaskofu, mapadre, masista, mashemasi, n.k. Anyway, uamuzi wa Papa ni alfa na omega; wanavyosema wao signature yake ni mwisho.
Achana naye huyo ni mpumbavu muulize hao watu wa Bukoba na karagwe wote wanaongea lugha gani na wote wanakula nini.Kabila la wahaya linaishi wilaya gani mkoa gani kijj kata talafa?
Hakuna kabila la wahaya mkuoni kagera,bali kuna kabila la wanyambo wako Karagwe waziba wayoza wako bukoba vijijini na mjini kuna waamba wako wilaya mleba kuna wasubi wako biharamulo kuna waangaza wako wilaya ngara kutoa waangaza tu wote hawa walio baki wanasikiliza na au wanachangia misemo tofaoti yao ni ndogo sana hivio basi wote ni hali 1 tuTusi kwa maana wanyambo ni bora au wahaya ni bora? Nisaidie ilo tafadhali
Upumbavufu Karagwe imekaliwa na watu kutoka bukoba vijijini mleba mbona wanapendana tu ifahamike hakuna kabila la wahayaWahaya na Wanyambo, kwanini hampendani?
Muhaya ni mtu wa wapi?Upumbavu Gani wakati naona uongo mtupu hapo, mtu hajazaliwa Karagwe unasema kazaliwa Karagwe.
Anyway nimeandika vitu in reality kamuulize Mhaya yeyote atakuambia ni sawasawa na kusema Mhaya ni Mrundi, ni tusi kubwa kuliko kumuita k.
Hili kabila la wahaya linapatikana sehemu gani mkoani kagera?Wanyambo walihusika kusababisha vifo vya Wahaya enzi za ukoloni wa Wajerumani kupitia chifu wao wa Karagwe aliyetaka Wahaya wote wateketezwe Kwa chuki zake binafsi.
Licha ya kuwa Wahaya takribani zaidi ya maelfu waliuwawa ila baadaye Wajerumani waliona uwezo wa Wahaya kwenye upande wa uelewa so wakawatumia kipindi chao cha Ukoloni.
Hiki Kiko documented kwenye kitabu cha Karagwe Kingdom.
Tuweke taarifa sahihi. Kardinali Rugambwa Protace amezaliwa Bunena -Manispaa ya Bukoba ambako pia ni karibu /kijiji iliyopo senior seminary ya Bunena .Huko Karagwe alienda kuhudumu kama padri basiView attachment 2683335
Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali
Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya.
Nawapongeza waumini wa Nyaishozi Karagwe, mkoani Kagera, kwa kumzaa na kulea Kardinali Rugabwa.
Pia nawapongeza wanafunzi wake wote wa Seminari Ndogo ya Katoke, Biharamulo kwa mwalimu wao kuwa Kardinali.
Pia namkaribisha sana Kardinali Rugambwa huku kwetu "Sumbawanga Town".
Wote tumwekeni katika maombi.
Hili jina rugambwa lina maana gani kwa kinyambo?Wahaya waahajiweka kwa cardinal Rugambwa kwamba mhaya wa Bukoba
Sio kweli
Cardinal Rugambwa ni mnyambo wa Karagwe
Wahaya tulia kagera hawatoki wahaya tu
Roma locuta, Causa Finita Est.... wachaga wamekosea wapi? Ndio wanaongoza kwa idadi ya maaskofu, mapadre, masista, mashemasi, n.k. Anyway, uamuzi wa Papa ni alfa na omega; wanavyosema wao signature yake ni mwisho.
Tuweke taarifa sahihi. Kardinali Rugambwa Protace amezaliwa Bunena -Manispaa ya Bukoba ambako pia ni karibu /kijiji iliyopo senior seminary ya Bunena .Huko Karagwe alienda kuhudumu kama padri basi
Vatican ikiongea vingine wote wana nyamaza.
... imeeleweka.Roma locuta, Causa Finita Est.
Haya majina yanaenda na matamshi ya watu husika ukisikia rugambwa tabua jina hilo lazima litakuwa la wayoza waziba wahamba huwezi pata kwa wasubi wala wanyambo au wazinza pamoja majina kailuki kagimbo katunzi Tibaigana tibaijuka nkKuna Rugambwa ambao ni Wanyambo, Wahaya, Wasubi, Wazinza na Wakara.
Nasikia kuwa, katika lugha hizo za Kibantu, Mzizi wa jina "Rugambwa" ni kitenzi "kugamba", yaani kuongea.
Katika passive form, "kugamba" inakuwa "kugambwa", yaani kusemwa.
Kwa hiyo, katika lugha hizo za Kibantu "Rugambwa" ni tu anayesewa semwa sana.
Nadhani sasa umeelewa
Tuweke taarifa sahihi. Kardinali Rugambwa Protace amezaliwa Bunena -Manispaa ya Bukoba ambako pia ni karibu /kijiji iliyopo senior seminary ya Bunena .Huko Karagwe alienda kuhudumu kama padri basi
Mnachobishania nyinyi ni kitu gani?Napinga taarifa hii.
Kualiwa BUnena hukumnyimi uhuru wa kuhamia Karagwe
Kaka zake, dada zake, na nduguze wote wako Nyaishozi, Karagwe.
Huko ndiko makazi yao ya kudumu yaliko
Hayo mambo ya kwenda Karagwe kuhudumu ni nadharia batili
Sio kweli wazinza wakala wakelewe wajita wataita rugambwa kwa rafudhi yao tofaoti na wayoza waamba na wazibaLugha za KIbantu zina makundi.
Hizi hapa zinaingiliana na kusikilizana;
Kihaya
Kinyambo
Kiizinza
Kikara
Kisubi
Kote huko kuna kina Rugambwa wengi tu
Haya majina yanaenda na matamshi ya watu husika ukisikia rugambwa tabua jina hilo lazima litakuwa la wayoza waziba wahamba huwezi pata kwa wasubi wala wanyambo au wazinza pamoja majina kailuki kagimbo katunzi Tibaigana tibaijuka nk
Sio kweli wazinza wakala wakelewe wajita wataita rugambwa kwa rafudhi yao tofaoti na wayoza waamba na waziba
Sio kweli wazinza wakala wakelewe wajita wataita rugambwa kwa rafudhi yao tofaoti na wayoza waamba na waziba
Mnachobishania nyinyi ni kitu gani?
Yesu Mnazaleth kazaliwa Bethrehemu.
Hebu tutafutie na tafsiri ya Kijazi, maana enzi za jiwe kuna vijazi kama watano wote walikuwa top rank serikalini, haya majina yanaumba.Lugambwa= Anayeongelewa haswa haswa kwa mema