Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

Tusi kwa maana wanyambo ni bora au wahaya ni bora? Nisaidie ilo tafadhali
Hakuna kabila la wahaya mkuoni kagera,bali kuna kabila la wanyambo wako Karagwe waziba wayoza wako bukoba vijijini na mjini kuna waamba wako wilaya mleba kuna wasubi wako biharamulo kuna waangaza wako wilaya ngara kutoa waangaza tu wote hawa walio baki wanasikiliza na au wanachangia misemo tofaoti yao ni ndogo sana hivio basi wote ni hali 1 tu
 
Upumbavu Gani wakati naona uongo mtupu hapo, mtu hajazaliwa Karagwe unasema kazaliwa Karagwe.
Anyway nimeandika vitu in reality kamuulize Mhaya yeyote atakuambia ni sawasawa na kusema Mhaya ni Mrundi, ni tusi kubwa kuliko kumuita k.
Muhaya ni mtu wa wapi?
 
Wanyambo walihusika kusababisha vifo vya Wahaya enzi za ukoloni wa Wajerumani kupitia chifu wao wa Karagwe aliyetaka Wahaya wote wateketezwe Kwa chuki zake binafsi.

Licha ya kuwa Wahaya takribani zaidi ya maelfu waliuwawa ila baadaye Wajerumani waliona uwezo wa Wahaya kwenye upande wa uelewa so wakawatumia kipindi chao cha Ukoloni.

Hiki Kiko documented kwenye kitabu cha Karagwe Kingdom.
Hili kabila la wahaya linapatikana sehemu gani mkoani kagera?
 
View attachment 2683335
Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali

Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya.

Nawapongeza waumini wa Nyaishozi Karagwe, mkoani Kagera, kwa kumzaa na kulea Kardinali Rugabwa.

Pia nawapongeza wanafunzi wake wote wa Seminari Ndogo ya Katoke, Biharamulo kwa mwalimu wao kuwa Kardinali.

Pia namkaribisha sana Kardinali Rugambwa huku kwetu "Sumbawanga Town".

Wote tumwekeni katika maombi.
Tuweke taarifa sahihi. Kardinali Rugambwa Protace amezaliwa Bunena -Manispaa ya Bukoba ambako pia ni karibu /kijiji iliyopo senior seminary ya Bunena .Huko Karagwe alienda kuhudumu kama padri basi
 
Wahaya waahajiweka kwa cardinal Rugambwa kwamba mhaya wa Bukoba
Sio kweli
Cardinal Rugambwa ni mnyambo wa Karagwe
Wahaya tulia kagera hawatoki wahaya tu
Hili jina rugambwa lina maana gani kwa kinyambo?
 
Tuweke taarifa sahihi. Kardinali Rugambwa Protace amezaliwa Bunena -Manispaa ya Bukoba ambako pia ni karibu /kijiji iliyopo senior seminary ya Bunena .Huko Karagwe alienda kuhudumu kama padri basi

Napinga taarifa hii.

Kualiwa BUnena hukumnyimi uhuru wa kuhamia Karagwe
Kaka zake, dada zake, na nduguze wote wako Nyaishozi, Karagwe.
Huko ndiko makazi yao ya kudumu yaliko
Hayo mambo ya kwenda Karagwe kuhudumu ni nadharia batili
 
Kuna Rugambwa ambao ni Wanyambo, Wahaya, Wasubi, Wazinza na Wakara.

Nasikia kuwa, katika lugha hizo za Kibantu, Mzizi wa jina "Rugambwa" ni kitenzi "kugamba", yaani kuongea.

Katika passive form, "kugamba" inakuwa "kugambwa", yaani kusemwa.

Kwa hiyo, katika lugha hizo za Kibantu "Rugambwa" ni tu anayesewa semwa sana.

Nadhani sasa umeelewa
Haya majina yanaenda na matamshi ya watu husika ukisikia rugambwa tabua jina hilo lazima litakuwa la wayoza waziba wahamba huwezi pata kwa wasubi wala wanyambo au wazinza pamoja majina kailuki kagimbo katunzi Tibaigana tibaijuka nk
 
Tuweke taarifa sahihi. Kardinali Rugambwa Protace amezaliwa Bunena -Manispaa ya Bukoba ambako pia ni karibu /kijiji iliyopo senior seminary ya Bunena .Huko Karagwe alienda kuhudumu kama padri basi

Napinga taarifa hii.

Kualiwa BUnena hukumnyimi uhuru wa kuhamia Karagwe
Kaka zake, dada zake, na nduguze wote wako Nyaishozi, Karagwe.
Huko ndiko makazi yao ya kudumu yaliko
Hayo mambo ya kwenda Karagwe kuhudumu ni nadharia batili
Mnachobishania nyinyi ni kitu gani?

Yesu Mnazaleth kazaliwa Bethrehemu.
 
Lugha za KIbantu zina makundi.
Hizi hapa zinaingiliana na kusikilizana;

Kihaya
Kinyambo
Kiizinza
Kikara
Kisubi

Kote huko kuna kina Rugambwa wengi tu
Sio kweli wazinza wakala wakelewe wajita wataita rugambwa kwa rafudhi yao tofaoti na wayoza waamba na waziba
 
Haya majina yanaenda na matamshi ya watu husika ukisikia rugambwa tabua jina hilo lazima litakuwa la wayoza waziba wahamba huwezi pata kwa wasubi wala wanyambo au wazinza pamoja majina kailuki kagimbo katunzi Tibaigana tibaijuka nk

Disputed.
 
Back
Top Bottom