MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Acha dharau na kejeli,wewe ni miongoni mwa msiopenda kusikia hiyo habari unayojaribu kuileta humu kinaa kabla hata mtu kupata ujumbe wako anajua kuwa uu adui was chadema na mustakabali mwema was taifa hili huku ukijidanganya juu ya umoja.Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile vikao viwili vya mwanzo vilikuwa muhimu sana kuweka mambo sawa. Ukishamweka sawa mmiliki wa chama basi hawa wengine lazima waufyate.
Mwenyekiti wa CHADEMA kafanya vyema sana kuwashirikisha viongozi wa chini yake mazungumzo ya ikulu ili kusitokee mvutano usio wa lazima. Hawa wafuasi wa mitandaoni hawana athari zozote kwa chama zaidi ya kupiga tu makelele yasiyosaidia. Kina Mdude, Hilda, Yeriko na wafuasi wengine maarufu mtandaoni sio lazima sana kuwashirikisha maongezi nyeti kama hayo. Hata wanachama wengine wanatakiwa wajue tu mlienda ikulu hakuna haja ya kujieleza. CHADEMA ni imani na asiyeamini akatafute chama kingine.
Ila lazima Mbowe awafikirie watu wawili. Lema na Lissu. Hawa wana ushawishi mkubwa kwahiyo hata wao ni muhimu walambishwe "asali" ili kuleta utulivu. Ila kama asali ni kidogo amlambishe Lema tu maana yule ni mtoto wa nyumbabi tofauti na huyo mwingine aliyekuja baadae. Ikumbukwe hakuna mtoto wa nyumbani aliyewahi kufukuzwa kwenye chama. Hivyo malalamiko ya Lema kwamba hajalambishwa asali ni rahisi kumfikia baba mkwe ikawa shida.
Namaliza kwa kumpongeza Mama Samia kwa kucheza kete zake vizuri hadi kuwaingiza kingi Mbowe & company.
Acha kudharau jitihada za mwenyekiti wa CCM na CHADEMAAcha dharau na kejeli,wewe ni miongoni mwa msiopenda kusikia hiyo habari unayojaribu kuileta humu kinaa kabla hata mtu kupata ujumbe wako anajua kuwa uu adui was chadema na mustakabali mwema was taifa hili huku ukijidanganya juu ya umoja.
Hapana.Utakuwa umesoma shule za kata!
Msichokijua chichiemu nyote mnamwonea haya Kwa mliyomtendea yeye,chama chake na wanachama na viongozi wa chama chake,na hata wanamichongo wote kama wewe mnanuna kuona wenzio wameona haya Kwa matendo yao na matendo yenu wanamichongo 🤔Tangu atoke mahabusu nakwenda ikulu ushaona amsha amsha za katiba na mijutani yoyote? Ikulu Kuna buyu kubwa sana la asali tamu ukilamba tu kwisha
Watu wa aina yako wapo wengi yaani kumuona mbowe kama malaika yaani ubabe wote ule amelainika kama mrenda mbowe Hana sauti TenaMsichokijua chichiemu nyote mnamwonea haya Kwa mliyomtendea yeye,chama chake na wanachama na viongozi wa chama chake,na hata wanamichongo wote kama wewe mnanuna kuona wenzio wameona haya Kwa matendo yao na matendo yenu wanamichongo 🤔
Mandela aliongea na waliomtesa yakaisha, Sasa huku ninyi mnaita kulambishwa asali? Siasa mnazijua kweli? Rais Samia anarejesha mshikamano wa Kitaifa, hali ya Kisiasa awamu ya 5 iliumiza sana watu, ilifikia wakati akifa wa chama fulani wengine vwanasema haituhusu. Rais Samia, hata Kama hatakuwa sawa kiasi fulani, lakini ameonyesha utawala unaojali tofauti na awamu ya 5.Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile vikao viwili vya mwanzo vilikuwa muhimu sana kuweka mambo sawa. Ukishamweka sawa mmiliki wa chama basi hawa wengine lazima waufyate.
Mwenyekiti wa CHADEMA kafanya vyema sana kuwashirikisha viongozi wa chini yake mazungumzo ya ikulu ili kusitokee mvutano usio wa lazima. Hawa wafuasi wa mitandaoni hawana athari zozote kwa chama zaidi ya kupiga tu makelele yasiyosaidia. Kina Mdude, Hilda, Yeriko na wafuasi wengine maarufu mtandaoni sio lazima sana kuwashirikisha maongezi nyeti kama hayo. Hata wanachama wengine wanatakiwa wajue tu mlienda ikulu hakuna haja ya kujieleza. CHADEMA ni imani na asiyeamini akatafute chama kingine.
Ila lazima Mbowe awafikirie watu wawili. Lema na Lissu. Hawa wana ushawishi mkubwa kwahiyo hata wao ni muhimu walambishwe "asali" ili kuleta utulivu. Ila kama asali ni kidogo amlambishe Lema tu maana yule ni mtoto wa nyumbabi tofauti na huyo mwingine aliyekuja baadae. Ikumbukwe hakuna mtoto wa nyumbani aliyewahi kufukuzwa kwenye chama. Hivyo malalamiko ya Lema kwamba hajalambishwa asali ni rahisi kumfikia baba mkwe ikawa shida.
Namaliza kwa kumpongeza Mama Samia kwa kucheza kete zake vizuri hadi kuwaingiza kingi Mbowe & company.
Ubabe wake na ule wa mchattle &co upi ni ubabe,kwani Kuna maelekezo ya kweli na halisi na upo ubabe wa mamlaka,au malaika ni nani na shetani ni nani🤔Watu wa aina yako wapo wengi yaani kumuona mbowe kama malaika yaani ubabe wote ule amelainika kama mrenda mbowe Hana sauti Tena
Hajui kitu huyo ana mimba ya magufuli. Kutwa kucha kutema mate huku akiimba mbowe mboweSiasa sio uadui ndugu.
Yaani nyie kama kurogw na huyo mbowe mmerogwa yaani hamuoni mtu mwingine wa kumpa uenyekiti? Hapo mnataka katiba mpya ya kupunguza mamlaka wakati ndani ya chama chenu mtu mmoja amejalia kiti miaka nendarudi mnazidi kusifia ujinga tu kwanza anawazarau kumuona yeye hakuna mwingine zaidi yakeUbabe wake na ule wa mchattle &co upi ni ubabe,kwani Kuna maelekezo ya kweli na halisi na upo ubabe wa mamlaka,au malaika ni nani na shetani ni nani🤔
Upumbavu mtupuNawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile vikao viwili vya mwanzo vilikuwa muhimu sana kuweka mambo sawa. Ukishamweka sawa mmiliki wa chama basi hawa wengine lazima waufyate.
Mwenyekiti wa CHADEMA kafanya vyema sana kuwashirikisha viongozi wa chini yake mazungumzo ya ikulu ili kusitokee mvutano usio wa lazima. Hawa wafuasi wa mitandaoni hawana athari zozote kwa chama zaidi ya kupiga tu makelele yasiyosaidia. Kina Mdude, Hilda, Yeriko na wafuasi wengine maarufu mtandaoni sio lazima sana kuwashirikisha maongezi nyeti kama hayo. Hata wanachama wengine wanatakiwa wajue tu mlienda ikulu hakuna haja ya kujieleza. CHADEMA ni imani na asiyeamini akatafute chama kingine.
Ila lazima Mbowe awafikirie watu wawili. Lema na Lissu. Hawa wana ushawishi mkubwa kwahiyo hata wao ni muhimu walambishwe "asali" ili kuleta utulivu. Ila kama asali ni kidogo amlambishe Lema tu maana yule ni mtoto wa nyumbabi tofauti na huyo mwingine aliyekuja baadae. Ikumbukwe hakuna mtoto wa nyumbani aliyewahi kufukuzwa kwenye chama. Hivyo malalamiko ya Lema kwamba hajalambishwa asali ni rahisi kumfikia baba mkwe ikawa shida.
Namaliza kwa kumpongeza Mama Samia kwa kucheza kete zake vizuri hadi kuwaingiza kingi Mbowe & company.
Hahaaaa eti ni lissuNaomba kuuliza: Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ni nani kwa sasa?
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Huyu mama kaamua kuwa tofauti na jiwe sababu anajua manung'uniko ya watu yanakupeleka kaburini mapemaNawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile vikao viwili vya mwanzo vilikuwa muhimu sana kuweka mambo sawa. Ukishamweka sawa mmiliki wa chama basi hawa wengine lazima waufyate.
Mwenyekiti wa CHADEMA kafanya vyema sana kuwashirikisha viongozi wa chini yake mazungumzo ya ikulu ili kusitokee mvutano usio wa lazima. Hawa wafuasi wa mitandaoni hawana athari zozote kwa chama zaidi ya kupiga tu makelele yasiyosaidia. Kina Mdude, Hilda, Yeriko na wafuasi wengine maarufu mtandaoni sio lazima sana kuwashirikisha maongezi nyeti kama hayo. Hata wanachama wengine wanatakiwa wajue tu mlienda ikulu hakuna haja ya kujieleza. CHADEMA ni imani na asiyeamini akatafute chama kingine.
Ila lazima Mbowe awafikirie watu wawili. Lema na Lissu. Hawa wana ushawishi mkubwa kwahiyo hata wao ni muhimu walambishwe "asali" ili kuleta utulivu. Ila kama asali ni kidogo amlambishe Lema tu maana yule ni mtoto wa nyumbabi tofauti na huyo mwingine aliyekuja baadae. Ikumbukwe hakuna mtoto wa nyumbani aliyewahi kufukuzwa kwenye chama. Hivyo malalamiko ya Lema kwamba hajalambishwa asali ni rahisi kumfikia baba mkwe ikawa shida.
Namaliza kwa kumpongeza Mama Samia kwa kucheza kete zake vizuri hadi kuwaingiza kingi Mbowe & company.
Umeandika vzur lkn mwishoni umeharibu.Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Yaani nyie kama kurogw na huyo mbowe mmerogwa yaani hamuoni mtu mwingine wa kumpa uenyekiti? Hapo mnataka katiba mpya ya kupunguza mamlaka wakati ndani ya chama chenu mtu mmoja amejalia kiti miaka nendarudi mnazidi kusifia ujinga tu kwanza anawazarau kumuona yeye hakuna mwingine zaidi yake