Nampongeza Mbowe pamoja na viongozi wakuu wa CHADEMA

Kuna watu wananufaika na mifarakano ya ccm na chadema naona lugha kubadilika inakuwa mbaya na dhana ya kulamba asali kwa mbowe ilikuigawa chadema na mbowe aonekane mbaya, hebu tuwape heshima hawa watu jmn ,Samia,mbowe,mnyika, wengineo waliohusika kwenye hili kwa kazi kubwa walioifanya leo taifa linahubiri amani upendo na umoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…