Nampongeza mwananchi kwa kunipa ushirikiano wa kusambaratisha ndoa ya Mwanafunzi wa Darasa la 6 Kata ya Mambali Nzega, Tabora

Wasaalam.

KISA; Tarehe 6 Julai, 2025 Jumapili, jioni majira ya saa 9 nilipokea taarifa ya ujumbe wa simu (sms) kutoka kwa mwananchi mzalendo kutoka huko Tabora, Nzega, kuwa: kuna mwanafunzi wa darasa la 6 kaozeshwa kwa nguvu na wazazi wake na kuna juhudi za kuficha hizi taarifa. Aidha, mwananchi alisema, wanaofanyiwa hivyo wakikataa wanafukuzwa makwao.

HATUA NILIZOCHUKUA; kuwapa taarifa mamlaka ya mkoa husika ili Sheria ya mtoto ifanye kazi yake.

MATOKEO; Mwananchi mzalendo mtoa taarifa amenitumia ujumbe kuipongeza Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, tayari mtoto aliyeolewa ametafutwa na amepatikana kutoka huko alikofichwa pia, waliohusika wametiwa nguvuni kwa maelezo na hatua zaidi. Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.

FUNZO; Ndugu Wananchi, mawasiliano ya kidigitali ni msaada mkubwa kwenye ulimwengu wa leo katika kuelimisha umma, kupokea na kupeleka taarifa na kuchukua hatua kwa gharama nafuu kabisa hivyo, tuendelee kushirikiana zaidi kupitia hii fursa kwani, tunafikika hadi vijijini.

HITIMISHO; Binti atarejea shuleni na waliohusika watapambana na sheria. Aidha, Nakemea Waoaji na Waozaji wa Watoto/ Wanafunzi. Nawataka jamii iache kuoa na kuoza Wanafunzi maana, utaratibu huo umepitwa na wakati. Hivi sasa, wananchi wako macho na taarifa zinasafiri kwa kasi.

MIKAKATI ZAIDI; Tutawafikia waharibifu wa watoto popote walipo. Wote mliowaoa wanafunzi, warejesheni shuleni mara moja kabla hatujawafikia. Timu yangu na mimi binafsi, tutaendelea kupokea sms za wananchi kuhusu masuala ya wizara hii na kuchukua hatua na kutoa mrejesho ili, kuwatia moyo zaidi wananchi.

MWISHO; Ndugu Wananchi, naomba sambazeni mawasiliano yetu, washeni moto wa FAECHA: FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA 💪🏼✍🏼,

🇹🇿Maendeleo na Ustawi wa Watoto Tanzania, Inawezekana.

@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_tabora_ @rcpaulchacha Mhe. RC Tabora, PONGEZI KWA KAZI NZURI✅️✍️
@maendeleoyajamii Ofisi ya Rais - TamisemiView attachment 3400053View attachment 3400054
Nikupongeze mhe waziri kwa jambo hili na jitihada katika kuhakikisha future ya mtoto mdogo kama huyo inaendelea bila kukatishwa kinguvunguvu

Nashauri kuwepo na hotline or social media channels ili iwe rahisi kwa wadau ku report matukio haya
 
Hongera sana Mama kwa kazi nzuri Waziri Gwajima Mi5 tena ❤❤Viva Gwajima
 
Hongera mama huna baya, Jamii za kifugaji hasa kanda ya ziwa ziangaliwe kwa jicho la kipekee mambo haya yapo mengi sana
 
Hivi mwanamke kufanya kazi bar na mtoto mchanga sio unyanyasaji?
 
Mh Waziri nipe ushauri Nini nifanye
Leo asubuhi nimebahatika kuzuia utoroshwaji wa mtoto wa kike wa kidato Cha pili ambaye alitakiwa kusafirishwa kupelekwa mkoani Arusha kufanya kazi za ndani make tayari alishavuka Wilaya Moja ndo nikabahatika kumkatamata na nilipompekua nilimkuta na namba za simu za mtu aliyekuwa anawasiliana nae kupitia simu za kuomba
Sasa sijuhi Kuna hatua zaidi za kisheria natakiwa kuzifuata? Kupitia hii namba niliyomkuta nayo ameandika kwenye karatasi?
Salaam, pongezi sana. Zipo hatua za kuchukua, tuna madawati ya watoto vituo vyote vya polisi. Kwa ushirikiano zaidi nitumie sms kuja 0765 345777 tushirikiane na aliyemtorosha atakiona cha mtema kuni
 
Wasaalam.

KISA; Tarehe 6 Julai, 2025 Jumapili, jioni majira ya saa 9 nilipokea taarifa ya ujumbe wa simu (sms) kutoka kwa mwananchi mzalendo kutoka huko Tabora, Nzega, kuwa: kuna mwanafunzi wa darasa la 6 kaozeshwa kwa nguvu na wazazi wake na kuna juhudi za kuficha hizi taarifa. Aidha, mwananchi alisema, wanaofanyiwa hivyo wakikataa wanafukuzwa makwao.

HATUA NILIZOCHUKUA; kuwapa taarifa mamlaka ya mkoa husika ili Sheria ya mtoto ifanye kazi yake.

MATOKEO; Mwananchi mzalendo mtoa taarifa amenitumia ujumbe kuipongeza Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, tayari mtoto aliyeolewa ametafutwa na amepatikana kutoka huko alikofichwa pia, waliohusika wametiwa nguvuni kwa maelezo na hatua zaidi. Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.

FUNZO; Ndugu Wananchi, mawasiliano ya kidigitali ni msaada mkubwa kwenye ulimwengu wa leo katika kuelimisha umma, kupokea na kupeleka taarifa na kuchukua hatua kwa gharama nafuu kabisa hivyo, tuendelee kushirikiana zaidi kupitia hii fursa kwani, tunafikika hadi vijijini.

HITIMISHO; Binti atarejea shuleni na waliohusika watapambana na sheria. Aidha, Nakemea Waoaji na Waozaji wa Watoto/ Wanafunzi. Nawataka jamii iache kuoa na kuoza Wanafunzi maana, utaratibu huo umepitwa na wakati. Hivi sasa, wananchi wako macho na taarifa zinasafiri kwa kasi.

MIKAKATI ZAIDI; Tutawafikia waharibifu wa watoto popote walipo. Wote mliowaoa wanafunzi, warejesheni shuleni mara moja kabla hatujawafikia. Timu yangu na mimi binafsi, tutaendelea kupokea sms za wananchi kuhusu masuala ya wizara hii na kuchukua hatua na kutoa mrejesho ili, kuwatia moyo zaidi wananchi.

MWISHO; Ndugu Wananchi, naomba sambazeni mawasiliano yetu, washeni moto wa FAECHA: FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA 💪🏼✍🏼,

🇹🇿Maendeleo na Ustawi wa Watoto Tanzania, Inawezekana.

@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_tabora_ @rcpaulchacha Mhe. RC Tabora, PONGEZI KWA KAZI NZURI✅️✍️
@maendeleoyajamii Ofisi ya Rais - TamisemiView attachment 3400053View attachment 3400054
Kwa heshima na taadhima naomba kujua msimamo wa watendaji wa serikali iwapo:

1. Kosa hasa kwa ufahamu wa Watendaji wa Serikali ni kuolewa au kuachishwa masomo?

2. kama kosa ni kuolewa, ambapo kuolewa ni tendo la kiimani. Je una hakika serikali yaweza kuingilia masuala ya imani wa watu wake.

3. Kama kosa ni tendo la kukutana kwanini serikali haitilii mkazo kuwashitaki wanafunzi wanaofanya zinaa na kuendelea na masomo.

4. Ndoa ni tendo la kiimani. Je serikali inaposema imevunja ndoa je hili lawezekana. Unaweza kuvunja Imani

5. Je tendo la kufanya zinaa kwa mwanafunzi ni kosa kisheria au si kosa kwa itikadi ya Serikali iliyo madarakani.

6. Kama tendo la ndoa ni la kiimani na itikadi. Itikadi na imani inayokwenda kinyume na itikadi ya Serikali ilio madarakani. Je haioni serikali inaingilia imani za watu wenye dini. Kuna case study yyt ya serikali kuingilia masuala ya dini.

7. Mwanafunzi akiolewa na akaendelea na masomo. Je ni kosa? Na kama ni kosa na kama zinaa si kosa..... huoni imani na itikadi ya serikali inahimiza watu waishi maisha ya Uasherati. Je itikadi ya serikali inahimiza Uasherati.

8. Hatuoni kuwa maamuzi haya ya watendaji wa serikali yanaakisi imani ya watendaji wa serikali ya kubariki ndoa

9. Hatua gani watendaji wa serikali hupaswa kuchukua iwapoMwanafunzi asipoolewa lkn anapenda kufanya mapenzi.

10. Ni Hatua gani watendaji wa serikali hupaswa kuchukua iwapo Mwanafunzi akiolewa na na akaendelea kusoma.

11. Kama kuna shule inaruhusi wanafunzi kuoa na kuolewa na kuendelea kusoma na kufaulu hamuoni kuna haja ya watendaji wa serikali kufanya tafiti na kuruhusu wanafunzi waoe/ olewa na kuendelea na masomo kuliko mazingira ya sasa ambapo wanafunzi wote wanafanya zinaa na hawapati mimba. Kosa ni kuolewa au kuachishwa masomo
 
Si umesoma taarifa kuwa, kaachichwa darasa la 6?
 
Attachments

  • IMG-20250510-WA0045(17).jpg
    IMG-20250510-WA0045(17).jpg
    115.6 KB · Views: 12
  • IMG-20250708-WA0028(1).jpg
    IMG-20250708-WA0028(1).jpg
    151.2 KB · Views: 13
  • IMG-20250708-WA0027(1).jpg
    IMG-20250708-WA0027(1).jpg
    186.1 KB · Views: 14
Nikupongeze mhe waziri kwa jambo hili na jitihada katika kuhakikisha future ya mtoto mdogo kama huyo inaendelea bila kukatishwa kinguvunguvu

Nashauri kuwepo na hotline or social media channels ili iwe rahisi kwa wadau ku report matukio haya
Hotline ni pamoja na 116
Simu zingine hizi 👇
 
Attachments

  • IMG-20250510-WA0045(17).jpg
    IMG-20250510-WA0045(17).jpg
    115.6 KB · Views: 14
  • IMG-20250708-WA0028(1).jpg
    IMG-20250708-WA0028(1).jpg
    151.2 KB · Views: 11
  • IMG-20250708-WA0027(1).jpg
    IMG-20250708-WA0027(1).jpg
    186.1 KB · Views: 15
Mh. Labda nimesahau kukupongeza kwa hatua hii.

Lkn ukiachilia kesi hii nini msimamo wa serikali kwa ujumla.

Kosa ni kuolewa au kuachishwa masomo. Na kama kuanza matendo ya zinaa kwa umri mdomo. Hivi ukiwapima watoto wa shule za msingi kuna atakaebaki.

Kwa hiyo kosa ni hili la kiimani ya wanaoamini uwepo wa Mungu na wale wakana Mungu wanaruhusiwa kuzini na Serikali haina haja ya kutunga sheria kuwa ni kosa kuzini
 
Wasaalam.

KISA; Tarehe 6 Julai, 2025 Jumapili, jioni majira ya saa 9 nilipokea taarifa ya ujumbe wa simu (sms) kutoka kwa mwananchi mzalendo kutoka huko Tabora, Nzega, kuwa: kuna mwanafunzi wa darasa la 6 kaozeshwa kwa nguvu na wazazi wake na kuna juhudi za kuficha hizi taarifa. Aidha, mwananchi alisema, wanaofanyiwa hivyo wakikataa wanafukuzwa makwao.

HATUA NILIZOCHUKUA; kuwapa taarifa mamlaka ya mkoa husika ili Sheria ya mtoto ifanye kazi yake.

MATOKEO; Mwananchi mzalendo mtoa taarifa amenitumia ujumbe kuipongeza Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, tayari mtoto aliyeolewa ametafutwa na amepatikana kutoka huko alikofichwa pia, waliohusika wametiwa nguvuni kwa maelezo na hatua zaidi. Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.

FUNZO; Ndugu Wananchi, mawasiliano ya kidigitali ni msaada mkubwa kwenye ulimwengu wa leo katika kuelimisha umma, kupokea na kupeleka taarifa na kuchukua hatua kwa gharama nafuu kabisa hivyo, tuendelee kushirikiana zaidi kupitia hii fursa kwani, tunafikika hadi vijijini.

HITIMISHO; Binti atarejea shuleni na waliohusika watapambana na sheria. Aidha, Nakemea Waoaji na Waozaji wa Watoto/ Wanafunzi. Nawataka jamii iache kuoa na kuoza Wanafunzi maana, utaratibu huo umepitwa na wakati. Hivi sasa, wananchi wako macho na taarifa zinasafiri kwa kasi.

MIKAKATI ZAIDI; Tutawafikia waharibifu wa watoto popote walipo. Wote mliowaoa wanafunzi, warejesheni shuleni mara moja kabla hatujawafikia. Timu yangu na mimi binafsi, tutaendelea kupokea sms za wananchi kuhusu masuala ya wizara hii na kuchukua hatua na kutoa mrejesho ili, kuwatia moyo zaidi wananchi.

MWISHO; Ndugu Wananchi, naomba sambazeni mawasiliano yetu, washeni moto wa FAECHA: FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA 💪🏼✍🏼,

🇹🇿Maendeleo na Ustawi wa Watoto Tanzania, Inawezekana.

@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_tabora_ @rcpaulchacha Mhe. RC Tabora, PONGEZI KWA KAZI NZURI✅️✍️
@maendeleoyajamii Ofisi ya Rais - TamisemiView attachment 3400053View attachment 3400054
Unafanya kazi nzuri sana Mama Dkt. Gwajima D, Mungu aendelee kukupa nguvu ya kusimama imara. Soon nategemea sana msaada wenu kama viongozi waandamizi wa serikali kuna ushahidi naukamilisha ili na Mimi nipate msaada wa kisheria.

Wafanyakazi wengi kwenye taasisi za Serikali wamekuwa na roho za ajabu sana na sijui ni kwanini bado wanaendelea kubaki serikalini wakifanya kazi.
 
Mh. Labda nimesahau kukupongeza kwa hatua hii.

Lkn ukiachilia kesi hii nini msimamo wa serikali kwa ujumla.

Kosa ni kuolewa au kuachishwa masomo. Na kama kuanza matendo ya zinaa kwa umri mdomo. Hivi ukiwapima watoto wa shule za msingi kuna atakaebaki.

Kwa hiyo kosa ni hili la kiimani ya wanaoamini uwepo wa Mungu na wale wakana Mungu wanaruhusiwa kuzini na Serikali haina haja ya kutunga sheria kuwa ni kosa kuzini
Kwa hiyo maoni yako ni wawe wanaenda shule wanaachisha shule wanafunzi wanawaoa au ni yepi?
 
Unafanya kazi nzuri sana Mama Dkt. Gwajima D, Mungu aendelee kukupa nguvu ya kusimama imara. Soon nategemea sana msaada wenu kama viongozi waandamizi wa serikali kuna ushahidi naukamilisha ili na Mimi nipate msaada wa kisheria.

Wafanyakazi wengi kwenye taasisi za Serikali wamekuwa na roho za ajabu sana na sijui ni kwanini bado wanaendelea kubaki serikalini wakifanya kazi.
Karibu nitumie kwa sms 0765 345777
 
Hiyo position uliyowekwa hapo inakufaa kwa 100%, kwa sababu waliokutangulia wote iliwashinda.

Mungu akuongoze kwa kila safari ngumu iliyopo mbele yako.

Na akulinde kwa kila mabaya mengi yanayopangwa dhidi yako.
 
Back
Top Bottom