Nampongeza mwananchi kwa kunipa ushirikiano wa kusambaratisha ndoa ya Mwanafunzi wa Darasa la 6 Kata ya Mambali Nzega, Tabora

Hongera,Mawaziri wote wangekuwa active kama wewe tungepiga hatua,wiki tatu zikizopita nilimpigia simu zaidi ya mara 40 Waziri wa Mambo ya Ndani Bashungwa hakuwa anapokea,nilimtumia ujumbe wa maandishi kwamba apokee simu kuna taarifa nataka nimpe cha kushangaza hakuwa anajibu sms,simu zinaita hapokei,meseji anasoma WhatqApp na za kawaida lakini hajibu,kwa kifupi nilikuwa na information ya kilo 280 za Heroin na kilo 150 za Cocain zilizoingia Tanzania kupitia ufukwe wa Bagamoyo,sasa Waziri wa Mambo ya Ndani hapokei simu anadhani taarifa za siri atazipataje??Ikikupendeza na kwa kuwa wewe ni Waziri mwenzake mwambie aache kujisikia na kujiona much know,Uwaziri anao leo na kesho hatakuwa nao,ni AIBU Waziri tena kijana kama Bashungwa kutokupokea simu wala kujibu sms
Msamehe bure. Wabunge na Mawaziri wengi kwa sasa wapo kwenye pressure kubwa ya kupambana kurudi Mjengoni. Huenda kwa sasa anahangaika na kura za wajumbe huko jimboni kwake ili apate za kutosha, na hivyo kupunguza nguvu ya uwajibikaji huku kwingine. Wakati mwingine mtafute mhusika mkuu wa Mambo ya dawa za kulevya- Kamishna Jenerali wa Kuzuia na Kupambana na matumizi ya Dawa za kulevya nchini.
 
Tukishamsikiliza, ustawi wa jamii sasa ndiyo wqnaandika mpango kamili usio na madhara kwa maendeleo na ustawi wake.

Nashukuru sana kwa Majibu Mheshimiwa, kwa Maana hao wazazi hawafai kabisa kurudishiwa huyo mtoto!

Pamoja na kwamba wewe ni waziri, na Mambo yote yanayotokana na hayo, nakutia moyo kwamba una akiba Mbinguni.

Watoto wa kike wa Taifa hili wanateseka sana, naomba uendelee kuwa hapo, na kama utatoka huko mbele, uwe umeweka mfumo endelevu!

Mungu akubariki sana
 
Kwa hiyo maoni yako ni wawe wanaenda shule wanaachisha shule wanafunzi wanawaoa au ni yepi?
Maoni yangu ni kauli ya Serikali kuvunja ndoa haina mantiki. Ndoa inavunjika kwa sheria za imani.

Pili tusipotoshe. Hakuna uhusiano wa ndoa na kuacha shule.

wanafunzi wengi hasa wa Sekondari sana na imani zao wanaolewa na wanaendelea na masomo. Kwa kuwa wanakwenda kufanya zinaa kama ambavyo suala hili serikali inavyofumbia macho.

Legalize Ndoa kwa msichana ambae ana matamanio ya kufanya zinaa. Kwani kwasasa wanaelimu kubwa ya kutopata mimba.
 
Wasaalam.

KISA; Tarehe 6 Julai, 2025 Jumapili, jioni majira ya saa 9 nilipokea taarifa ya ujumbe wa simu (sms) kutoka kwa mwananchi mzalendo kutoka huko Tabora, Nzega, kuwa: kuna mwanafunzi wa darasa la 6 kaozeshwa kwa nguvu na wazazi wake na kuna juhudi za kuficha hizi taarifa. Aidha, mwananchi alisema, wanaofanyiwa hivyo wakikataa wanafukuzwa makwao.

HATUA NILIZOCHUKUA; kuwapa taarifa mamlaka ya mkoa husika ili Sheria ya mtoto ifanye kazi yake.

MATOKEO; Mwananchi mzalendo mtoa taarifa amenitumia ujumbe kuipongeza Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, tayari mtoto aliyeolewa ametafutwa na amepatikana kutoka huko alikofichwa pia, waliohusika wametiwa nguvuni kwa maelezo na hatua zaidi. Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.

FUNZO; Ndugu Wananchi, mawasiliano ya kidigitali ni msaada mkubwa kwenye ulimwengu wa leo katika kuelimisha umma, kupokea na kupeleka taarifa na kuchukua hatua kwa gharama nafuu kabisa hivyo, tuendelee kushirikiana zaidi kupitia hii fursa kwani, tunafikika hadi vijijini.

HITIMISHO; Binti atarejea shuleni na waliohusika watapambana na sheria. Aidha, Nakemea Waoaji na Waozaji wa Watoto/ Wanafunzi. Nawataka jamii iache kuoa na kuoza Wanafunzi maana, utaratibu huo umepitwa na wakati. Hivi sasa, wananchi wako macho na taarifa zinasafiri kwa kasi.

MIKAKATI ZAIDI; Tutawafikia waharibifu wa watoto popote walipo. Wote mliowaoa wanafunzi, warejesheni shuleni mara moja kabla hatujawafikia. Timu yangu na mimi binafsi, tutaendelea kupokea sms za wananchi kuhusu masuala ya wizara hii na kuchukua hatua na kutoa mrejesho ili, kuwatia moyo zaidi wananchi.

MWISHO; Ndugu Wananchi, naomba sambazeni mawasiliano yetu, washeni moto wa FAECHA: FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA 💪🏼✍🏼,

🇹🇿Maendeleo na Ustawi wa Watoto Tanzania, Inawezekana.

@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_tabora_ @rcpaulchacha Mhe. RC Tabora, PONGEZI KWA KAZI NZURI✅️✍️
@maendeleoyajamii Ofisi ya Rais - TamisemiView attachment 3400053View attachment 3400054
Huyo Mwanafunzi labda alikuwa anaolewa upande wa wasio na maisha (pesa) vinginevyo 😂😂
 
Hongera ila sijui kama watakuacha kwenye safu inayokuja ila wewe na yule wa ngada hatutawasahau kama Mrema na komandoo Yoso, Waliowanyanyasa wanawake, nk
Mmeacha alama itakayokumbukwa kwa vizazi vyote kama tunavyomkumbuka Sokoine
 
Nini hatima ya malezi ya huyo mtoto baada ya kurudi Shule ikiwa waliohusika (Bila shaka ni wazazi wake) wametiwa nguvuni?

Nani atafuatilia kama huyo Binti ataishi kwa amani na kwa usalama ikiwa wahusika ni lazima watakua na chuki nae?
 
Maoni yangu ni kauli ya Serikali kuvunja ndoa haina mantiki. Ndoa inavunjika kwa sheria za imani.

Pili tusipotoshe. Hakuna uhusiano wa ndoa na kuacha shule.

wanafunzi wengi hasa wa Sekondari sana na imani zao wanaolewa na wanaendelea na masomo. Kwa kuwa wanakwenda kufanya zinaa kama ambavyo suala hili serikali inavyofumbia macho.

Legalize Ndoa kwa msichana ambae ana matamanio ya kufanya zinaa. Kwani kwasasa wanaelimu kubwa ya kutopata mimba.
Kama unampenda, subiri amalize shule. Usijipe nafasi ya kuyajua mengi kuliko wananchi waliokuwa eneo la tukio na kuliko mtoto mwenyewe alivyohaingaika kuepuka akashindwa. Ikifika zamu ya mwanao utakuja kutupa uzoefu tafadhali. Santeee
 
Hongera ila sijui kama watakuacha kwenye safu inayokuja ila wewe na yule wa ngada hatutawasahau kama Mrema na komandoo Yoso, Waliowanyanyasa wanawake, nk
Mmeacha alama itakayokumbukwa kwa vizazi vyote kama tunavyomkumbuka Sokoine
Hizi kazi tufanye siyo kwa sababu ya kutaka baadae sijui tuwe wapi. Tufanye kwa moyo na imani na nature ituweke tunapostahili. Hivyo, tuendelee kushirikiana tafadhali
 
Wasaalam.

KISA; Tarehe 6 Julai, 2025 Jumapili, jioni majira ya saa 9 nilipokea taarifa ya ujumbe wa simu (sms) kutoka kwa mwananchi mzalendo kutoka huko Tabora, Nzega, kuwa: kuna mwanafunzi wa darasa la 6 kaozeshwa kwa nguvu na wazazi wake na kuna juhudi za kuficha hizi taarifa. Aidha, mwananchi alisema, wanaofanyiwa hivyo wakikataa wanafukuzwa makwao.

HATUA NILIZOCHUKUA; kuwapa taarifa mamlaka ya mkoa husika ili Sheria ya mtoto ifanye kazi yake.

MATOKEO; Mwananchi mzalendo mtoa taarifa amenitumia ujumbe kuipongeza Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, tayari mtoto aliyeolewa ametafutwa na amepatikana kutoka huko alikofichwa pia, waliohusika wametiwa nguvuni kwa maelezo na hatua zaidi. Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.

FUNZO; Ndugu Wananchi, mawasiliano ya kidigitali ni msaada mkubwa kwenye ulimwengu wa leo katika kuelimisha umma, kupokea na kupeleka taarifa na kuchukua hatua kwa gharama nafuu kabisa hivyo, tuendelee kushirikiana zaidi kupitia hii fursa kwani, tunafikika hadi vijijini.

HITIMISHO; Binti atarejea shuleni na waliohusika watapambana na sheria. Aidha, Nakemea Waoaji na Waozaji wa Watoto/ Wanafunzi. Nawataka jamii iache kuoa na kuoza Wanafunzi maana, utaratibu huo umepitwa na wakati. Hivi sasa, wananchi wako macho na taarifa zinasafiri kwa kasi.

MIKAKATI ZAIDI; Tutawafikia waharibifu wa watoto popote walipo. Wote mliowaoa wanafunzi, warejesheni shuleni mara moja kabla hatujawafikia. Timu yangu na mimi binafsi, tutaendelea kupokea sms za wananchi kuhusu masuala ya wizara hii na kuchukua hatua na kutoa mrejesho ili, kuwatia moyo zaidi wananchi.

MWISHO; Ndugu Wananchi, naomba sambazeni mawasiliano yetu, washeni moto wa FAECHA: FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA 💪🏼✍🏼,

🇹🇿Maendeleo na Ustawi wa Watoto Tanzania, Inawezekana.

@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_tabora_ @rcpaulchacha Mhe. RC Tabora, PONGEZI KWA KAZI NZURI✅️✍️
@maendeleoyajamii Ofisi ya Rais - TamisemiView attachment 3400053View attachment 3400054
Ubarikiwe sana daktari Dkt. Gwajima D kwa kazi hii nzuri unayofanya. Hakika unafanya kazi yenye baraka na matokeo yanaonekana. Mungu aibariki kazi ya mikono yako na kukuinua juu zaidi. Amina.
 
Tuna uvumilivu kwa watz waliotokana na wazazi ambao hawakuoanwa, na labda walikuja kubariki ndoa baadae.

Hata hivyo tunawaomba wawe wavumilvu kwa jamii ya watz ambao ni aibu kufanya zinaa na kupata watoto nje ya ndoa.

Hakuna tafiti inayoonyesha kuwa kuna uhusiano Kati ya kuolewa na kuanzishwa masomo. Laiti ungetoa mwongozo kuruhusu wanafunzi kuoa/kuolewa kwa waliotamani nina hakika jamii ingepata baraka kwa Mungu. Kwani Mungu hapendi (kwa imani yetu) taifa lilotokana na kizazi cha zinaa.

Watendaji wa Serikali kuingilia suala la imani ni ukiukwaji wa katiba. Na kulazimisha Matakwa ya Wabariki ndoa kuwa sheria ya nchi. Na suluhisho la muda mrefu ktk changamoto hii ni kuwa na utawala wa majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Takwimu. Serikali isitafute pakushika. Idadi ya watoto wanaendelea na elimu ni asilimi 2.5% ya watoto wanaofanya mtihani wa mwisho. Ongezeni kwanza nafasi ya watoto kuendelea na masomo kuliko kujifanya wakali kwa watoto wanaoolewa na kuendelea na masomo.

Na kuwaacha guru wanafunzi wafanye zinaa ilimradi wasipate mimba.

Ndoa ni Tunu ya Taifa.

Shame Nation
 
Maoni yangu ni kauli ya Serikali kuvunja ndoa haina mantiki. Ndoa inavunjika kwa sheria za imani.

Pili tusipotoshe. Hakuna uhusiano wa ndoa na kuacha shule.

wanafunzi wengi hasa wa Sekondari sana na imani zao wanaolewa na wanaendelea na masomo. Kwa kuwa wanakwenda kufanya zinaa kama ambavyo suala hili serikali inavyofumbia macho.

Legalize Ndoa kwa msichana ambae ana matamanio ya kufanya zinaa. Kwani kwasasa wanaelimu kubwa ya kutopata mimba.
Mkuu umeongea jambo la msingi ijapokuwa sina uhakika kama serikali ya MamaSamia2025 itakubali wanafunzi wa kike waolewe huku wakiendelea na masomo. Kule vijijini nimeshuhudia wanafunzi wa kiume wakisoma huku wakiwa wameoa lakini kwa wanawake ni vigumu. Je, akipata mimba na kuzaa atawezaje kukamilisha masomo? Au chukulie, kwa mfano, siku ya mtihani imefika halafu akatakiwa kwenda labour? Hii itakuwa ngumu. Lakini kwa wavulana inawezekana kwa kuwa hawaendi labour.
 
Mh Waziri, naomba niunganishe na Mh Bashe,
Nina changamoto na ushauri ambayo natamani niombe appointment ili kuzungumza nae ofisini au kwa simu moja kwa moja.
Natanguliza shukurani 🙏
 
Mkuu umeongea jambo la msingi ijapokuwa sina uhakika kama serikali ya MamaSamia2025 itakubali wanafunzi wa kike waolewe huku wakiendelea na masomo. Kule vijijini nimeshuhudia wanafunzi wa kiume wakisoma huku wameolewa lakini kwa wanawake ni vigumu. Je, akipata mimba na kuzaa atawezaje kukamilisha masomo? Au chukulie, kwa mfano, siku ya mtihani imefika halafu akatakiwa kwenda labour? Hii itakuwa ngumu. Lakini kwa wavulana inawezekana kwa kuwa hawaendi labour.
Vijiji gani hivyo ambavyo wanafunzi wa kiume wanaolewa?
 
Mimi mama mwenye nyumba ananilaghai...
Toka juzi nalalamika lakini hakuna anayeweza nizingatia
 
Kama unampenda, subiri amalize shule. Usijipe nafasi ya kuyajua mengi kuliko wananchi waliokuwa eneo la tukio na kuliko mtoto mwenyewe alivyohaingaika kuepuka akashindwa. Ikifika zamu ya mwanao utakuja kutupa uzoefu tafadhali. Santeee
Mh. Masuali yangu si ya kisiasa, bali nilitaka ufafanuzi wa Kisera.

Any way kama ukurasa huu si sahihi kutoa majibu basi nikutakie tu mapambano mema. Hatujafahamu umechukoa fomu kupitia jimbo gani. Kwani binafsi nakukubali na nakuombea uje kuwa mshauri wa Rais ajae. Na natamani upendeleke pendekezo la kuunganisha wizara ya mambo ya ndani na ya ustawi wa jamii. Kwani ktk wizara ya ustawi hakuna kazi wanavyofanya zaidi yako wewe binafsi. Tena pale Muhimbili ni kichaka tu cha kuchua rushwa
 
Mkuu umeongea jambo la msingi ijapokuwa sina uhakika kama serikali ya MamaSamia2025 itakubali wanafunzi wa kike waolewe huku wakiendelea na masomo. Kule vijijini nimeshuhudia wanafunzi wa kiume wakisoma huku wameolewa lakini kwa wanawake ni vigumu. Je, akipata mimba na kuzaa atawezaje kukamilisha masomo? Au chukulie, kwa mfano, siku ya mtihani imefika halafu akatakiwa kwenda labour? Hii itakuwa ngumu. Lakini kwa wavulana inawezekana kwa kuwa hawaendi labour.
Kuna marekebisho kidogo ktk andiko lako. Huko vijijini inasomeka wavulana kuolewa.

Nirudi ktk hoja ya msingi. Ndoa ikihalalishwa ilimradi wanachinzi wasiache kusoma. Mfumo utakuwa kama kwa wanafunzi walio vyuoni. Wanapostpont. Lazima tuelewane jambo moja. Taifa linainuliwa au kuharibiwa na wananchi ambao ndio walipa kodi. Ni bora kodi hizi zikarudi kwa walipa kodi kuliko hali ya sasa zinaishia ktk matumizi ya kufuru ya wanasiasa
 
Wasaalam.

KISA; Tarehe 6 Julai, 2025 Jumapili, jioni majira ya saa 9 nilipokea taarifa ya ujumbe wa simu (sms) kutoka kwa mwananchi mzalendo kutoka huko Tabora, Nzega, kuwa: kuna mwanafunzi wa darasa la 6 kaozeshwa kwa nguvu na wazazi wake na kuna juhudi za kuficha hizi taarifa. Aidha, mwananchi alisema, wanaofanyiwa hivyo wakikataa wanafukuzwa makwao.

HATUA NILIZOCHUKUA; kuwapa taarifa mamlaka ya mkoa husika ili Sheria ya mtoto ifanye kazi yake.

MATOKEO; Mwananchi mzalendo mtoa taarifa amenitumia ujumbe kuipongeza Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, tayari mtoto aliyeolewa ametafutwa na amepatikana kutoka huko alikofichwa pia, waliohusika wametiwa nguvuni kwa maelezo na hatua zaidi. Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.

FUNZO; Ndugu Wananchi, mawasiliano ya kidigitali ni msaada mkubwa kwenye ulimwengu wa leo katika kuelimisha umma, kupokea na kupeleka taarifa na kuchukua hatua kwa gharama nafuu kabisa hivyo, tuendelee kushirikiana zaidi kupitia hii fursa kwani, tunafikika hadi vijijini.

HITIMISHO; Binti atarejea shuleni na waliohusika watapambana na sheria. Aidha, Nakemea Waoaji na Waozaji wa Watoto/ Wanafunzi. Nawataka jamii iache kuoa na kuoza Wanafunzi maana, utaratibu huo umepitwa na wakati. Hivi sasa, wananchi wako macho na taarifa zinasafiri kwa kasi.

MIKAKATI ZAIDI; Tutawafikia waharibifu wa watoto popote walipo. Wote mliowaoa wanafunzi, warejesheni shuleni mara moja kabla hatujawafikia. Timu yangu na mimi binafsi, tutaendelea kupokea sms za wananchi kuhusu masuala ya wizara hii na kuchukua hatua na kutoa mrejesho ili, kuwatia moyo zaidi wananchi.

MWISHO; Ndugu Wananchi, naomba sambazeni mawasiliano yetu, washeni moto wa FAECHA: FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA 💪🏼✍🏼,

🇹🇿Maendeleo na Ustawi wa Watoto Tanzania, Inawezekana.

@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ofisi_ya_mkuu_wa_mkoa_tabora_ @rcpaulchacha Mhe. RC Tabora, PONGEZI KWA KAZI NZURI✅️✍️
@maendeleoyajamii Ofisi ya Rais - TamisemiView attachment 3400053View attachment 3400054

View: https://www.youtube.com/watch?v=m4Kg_rijI7w&list=RDMMm4Kg_rijI7w&index=1
 
Hizi kazi tufanye siyo kwa sababu ya kutaka baadae sijui tuwe wapi. Tufanye kwa moyo na imani na nature ituweke tunapostahili. Hivyo, tuendelee kushirikiana tafadhali
Kukumbukwa hakupo ndani yako isipokuwa kwetu tutakubrand kutokana na utendaji wako
 
Back
Top Bottom