Nampongeza Robert Hariel kwa uandishi wake wakini hapa JF

huyu bro yupo vizuri sana sema hajatuelezea tungo za kimasihara yake kwenye ule uzi pendwa wa rikiboy.
 
Sawa kabisa, namshauri ROBERT HERIEL acompile makala zake na kutoa kajitabu kadogo, itamsaidia kuhifadhi juhudi zake na kupata wasomaji wengi zaidi. Baadhi ya makala ni too controversial anapaswa kuzichambua na kuzi-edit ziwe na mafundisho kwa jamii na pia zieleweka kwa urahisi zaidi.
 
Za ndaaaaaani kabisa wanasema hii ni SELF PROMO KWA KUTUMIA ID NYINGINE ili kuwapa attention watu wamfuatilie zaidi😀
Dah!! Kumbe Great thinkers tu wengi!! Niko pamoja nawe kulidadavua suala hili [emoji23][emoji23]
 
Tupe na namba ya kutuma mchango
 
Ukila kitu cha cannabis utakua zaidi yake njoo ni roll blunt moja tu tupige puff puff pass puff puff uone
Hata akili za anasa anasa utakua huna we utakua unawaza malengo yako tu madem unaona Kama hawana maana.
Hahaaa...we jamaa sijui umewaza nini
 
Kiukweli nami nimpe pongezi kupitia uzi huu,, wanaosema anajipa promo uwanja uko huru na nyie jipeni promo,, Kama huwa anakaa na kuandika mwenyewe hanakili sehemu yoyote Basi ana moyo wa pekee,, hao ndo wanaoheshimisha JamiiForum,

Japo sio mara zote huwa nakubaliana nae,
 
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 

ROBERT HERIEL unajipigia debe sana. Kwanini unajiita majina ya kizungu mawili halafu kwa maneno makubwa.

Unapiga kelele nyingi sana, una inferiority confidence kubwa sana, jifunze kuongea taratibu bila kupiga kelele nyingi.

Simama, tafuta jina ulipotoka, la baba yako, babu zako, uliopewa.

Tumia herufi ndogo kwenye majina yako ukiachia mwanzo wa jina lako. Nafikiri unajiita msomi.
 
1. Ni kweli kabisa huyu The unpaid Seller ndiye ROBERT HERIEL
2. Ni kweli kabisa huyu kijana ni mwandishi mzuri sana
3. Ni kweli kabisa kwamba binafsi ndo mwandishi ambaye nimewahi kuweka makala yake kwenye iBook yangu. Uzi wenyewe ulikuwa unawakumbusha wazazi kutowalaumu wake zetu kwamba wao ndo sababu ya sisi kutowatumia pesa. Ni moja kati ya makala ambazo nimewahi kusoma zaidi ya mara moja.

Aquila nunca capit muscas!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…