Sawa kabisa, namshauri
ROBERT HERIEL acompile makala zake na kutoa kajitabu kadogo, itamsaidia kuhifadhi juhudi zake na kupata wasomaji wengi zaidi. Baadhi ya makala ni too controversial anapaswa kuzichambua na kuzi-edit ziwe na mafundisho kwa jamii na pia zieleweka kwa urahisi zaidi.