Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Inno bana sio kila anachoongea Zari ni point. Kuna pumba aliongea hapo hujaziona? Anyway karibu msosi
34374416_594125347611967_3905458000415948800_n.jpg
 
IMG_20200612_202221.jpg
kwa hapa amepatia ila kutukana watoto wa wengine hajapatia japo na wake wanatukanwa sana poor pugi jaman atakua kaumia sana maana hadi dakika hii sidekid kagoma kuongea fasaha
Nimekaribia aisee mbona Kama umejipendelea kiasi hicho anyway hizo pumba unazoona alizoongea zari ziko wapi?
 
Ukiachana na hayo unaweza ukanipa namba yake?mi nampenda sana nataka anibariki siku moja nipige hata cha jogoo.
 
View attachment 1477176kwa hapa amepatia ila kutukana watoto wa wengine hajapatia japo na wake wanatukanwa sana poor pugi jaman atakua kaumia sana maana hadi dakika hii sidekid kagoma kuongea fasaha
Kama wasingemchokoza yeye asingeongea hivo uwezi kuchokoza ugomvi wakati unaishi nyumba ya vioo dawa imewaingia.
 
Back
Top Bottom