Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Mkuu unaposema watanzania una maanisha sisi watanzania wote tuna chuki na huyo mganda wako, ebu jaribu kuwanyooshea kidole wote ambao wana chuki na huyo Zari.

Kabisa
Zari umaarufu kaupatia Tz anavyoleta dharau sasa
Habari za kingbae ziliishia wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Walozaa na diamond hakuna hata mmoja alomuoa wote wamezaa side kid

Dinazarde Nini maoni yako kwenye hili nimeona uko Kuna mtu anaitwa anifah comment yake inatred huko insta ameandika comment ya malalamiko ya kuwa zari amewadhalilisha watanzania na akawatag basata,ikulu ya mawasiliano na viongozi wa serikali nakuomba zari afungiwe asije Tanzania nilikuwa nataka nikuwekee comment yake hapa ila imekataa niliyosceenshot.
 
nimeona hiyo comment na Anifalahmad yupo sawa tu kutoa maoni yake maana ni katukana Tz nzima badala ya kuwasema hao wanainsta wenzake
Unajua ukiwa public figure kubali kukosolewa na pia sijaona alipotukanwa mwanae ndio nashangaa mim mapovu hayo vepee ,bila Tz kumjazia followers angekuwa wapi hebu atuliage huko huko
Diamond kazalisha kila mtu asijione special
 
Huyo Zari nae ana dharau sana, ilihusu nini kujigamba yy anaenda ofisini na kuwachamba wauza nyanya na Vitunguuu kwani hizo sio Biashara pia? Watanzania wengi wa Insta wanaboa sana wamejaa chuki, choyo, Husda, ila nae Zari anadharau mno.
 
Kabisa
Zari umaarufu kaupatia Tz anavyoleta dharau sasa
Habari za kingbae ziliishia wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
" vitoto vyenuu vya primary[emoji28]

King bae kala, kapita hivi[emoji117]
 
103509874_263895261692553_4266085534101062985_n.jpg
@dazinaagust
Ukiona tusi la zari limekuuma jua wewe ndo umezidi watukana watoto wake ... na zari kawasema wanaomtukana mtoto wake au watoto wake.... hebu onesheni wapi kasema watoto wa kitanzania ni matahira .....nyie msituingize kwenye ujinga wenu ... Ndo mkomage kutukana watoto wa watu @zarithebosslady wakitukana watoto wako tukana na wao mpaka sindano izame vizuri
103323649_171643334315502_3533347390786261159_n.jpg
 
Dinazarde Nini maoni yako kwenye hili nimeona uko Kuna mtu anaitwa anifah comment yake inatred huko insta ameandika comment ya malalamiko ya kuwa zari amewadhalilisha watanzania na akawatag basata,ikulu ya mawasiliano na viongozi wa serikali nakuomba zari afungiwe asije Tanzania nilikuwa nataka nikuwekee comment yake hapa ila imekataa niliyosceenshot.
Yupo page gani, nimcheki insta
 
nimeona hiyo comment na Anifalahmad yupo sawa tu kutoa maoni yake maana ni katukana Tz nzima badala ya kuwasema hao wanainsta wenzake
Unajua ukiwa public figure kubali kukosolewa na pia sijaona alipotukanwa mwanae ndio nashangaa mim mapovu hayo vepee ,bila Tz kumjazia followers angekuwa wapi hebu atuliage huko huko
Diamond kazalisha kila mtu asijione special
Anajiita nani insta?
 
Kakosea vingi sana huyu mama..

Dharau nyingi sana

Anadharau sana watanzania kiasi kwamba eti so called "Tiffah ndo atatutoa kimaso maso[emoji134][emoji849]

Hahaha na sura yake kama michael jackson hebu alee yale matoto yake ya kiume mange alisema kama majambazi [emoji119]
 
Back
Top Bottom