Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Mkuu unaposema watanzania una maanisha sisi watanzania wote tuna chuki na huyo mganda wako, ebu jaribu kuwanyooshea kidole wote ambao wana chuki na huyo Zari.
Simaanishi Ni kwa zari tu hii tabia ya chuki ipo Sana Tanzania hasa mtu akifanikiwa iwe Ni mwanamziki, Politician, Muigizaji, Mfanyabiashara au neighbour n.k mfano mzuri nikamtolea huyo dereva wa daladala kwenye Uzi wangu
 
Ujue nini Mkuu Inno, Chuki Unakuumiza Wewe Kuliko Unayemchukia, Unapomchukia mtu, kwa hakika, unajibebesha mzigo mzito kihisia. Unakuwa na kazi na kupambana na mtu ambaye pengine hana habari na wewe. Wakati wewe ukijiumiza kwa kutamani aharibikiwe, mwenzako ndio kwanza anafanikiwa. Chuki, katika mazingira haya, inakuwa na kazi ya kukuumiza wewe kuliko inavyomwumiza unayemchukia.
 
"Watanzania"

Zari ajirekebishe kujumuisha watanzania wote, kwasababu wanaomsema na kujibizana mtandaoni sio wawakilishi wa watanzania isipokuwa nafsi zao binafsi.

Na, anapowasema watoto wa watanzania kwa kuwafananisha na wa kwake, nadhani hayuko sahihi.

Naamini, kama watoto wake walisemwa vibaya pasipo wao (watoto) kuyasikia maneno hayo yenye ubaya, si busara kwake kuja kuwasema watoto wa watanzania wote...azingatie kuwa mashabiki wake wengi na wateja wa bidhaa anazotangaza hasa dippers za watoto walengwa ni watanzania na watoto wa Tanzania.

Ashauriwe, awe na "vituo" vya maneno na kifua cha kuyamudu maudhi ya mtandaoni. Kabla ya kujitokeza, atazame "jina" na umaarufu wake...kwa sababu hasara ya maneno yake anaweza asiione moja kwa moja, au kwa haraka.
 
Ujue nini Mkuu Inno, Chuki Unakuumiza Wewe Kuliko Unayemchukia, Unapomchukia mtu, kwa hakika, unajibebesha mzigo mzito kihisia. Unakuwa na kazi na kupambana na mtu ambaye pengine hana habari na wewe. Wakati wewe ukijiumiza kwa kutamani aharibikiwe, mwenzako ndio kwanza anafanikiwa. Chuki, katika mazingira haya, inakuwa na kazi ya kukuumiza wewe kuliko inavyomwumiza unayemchukia.
Watu wenye tabia ya wivu na chuki wakiona hii comment yako wanaweza kujifunza kitu.
 
Hakuna mtu anaeimiliki chuki lakini kuna ambao wanatengeneza mazingira ya wao kuchukiwa na pia wanafurahia jinsi wanavyochukiwa na wanazengo, ni sawa na kwamba Mahusiano ya mume na mke au mapenzi kati ya mtu mume na mke, hayawezi kumpa mmoja wapo au wote haki ya kummiliki mwengine. Kila mmoja analindwa na sheria.
 
Kuna wengine wanakuchukia bila hata sababu za msingi.
 
Watanzania tuna nongwa sana yani. MTU akiwa awezibkukufikia yaani utachukiwa kinnoma hadi ulozi
 
Back
Top Bottom