Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Lini vyakula vilikosekana nchi hii?!!Aliyekwambia hii nchi haitakuja kutwangana ni nani?.Tumechelewa tu kwa vile watu wameridhika kwasababu tuna bahati ya kua na chakula chakutosha.ila haki ndio msingi wa nchi kua pamoja na hilo likikosekana tegemea lolote.hayo mambo ya majimbo ni visingizio tu unaleta.
Kwa kuwa TREND ya kutokesekana chakula basi usitegemee watanzania watakuja kutwangana.....
Wananchi wa kawaida wanaanzishaje Vita baina yao ?!!!!
Huko Sudan Kusini hawatwangani wananchi wa kawaida bali majeshi ya makundi makubwa ya KIKABILA......