Namshangaa sana mtu anayeishabikia CCM

Gazeti la Uhuru ambalo ndio mouth piece ya CCM na lenyewe limeichoka CCM. Soma Uhuru la leo 11.8.21
 

kwahio umaskini wa wananchi umesababishwa na ccm? Ni nchi gan afrika mashariki na kati ina matajiri zaidi ya tanzania?
 
kwahio umaskini wa wananchi umesababishwa na ccm? Ni nchi gan afrika mashariki na kati ina matajiri zaidi ya tanzania?
Kwa hiyo benchmark yako ni kujilinganisha na maskini wenzio? Kwa nini usijilinganishe na nchi zingine zilizoendelea? By the way kwa nini unaipenda ccm?
 
Kwa hiyo benchmark yako ni kujilinganisha na maskini wenzio? Kwa nini usijilinganishe na nchi zingine zilizoendelea? By the way kwa nini unaipenda ccm?

sasa si ndo ulichosema kwamba ccm ndo chanzo, au umegueza gia tena? aya niambie hawa ni wananchi wa wap?




- Chama kinapendwa kwa mikakati yake na dira yake, Japokua pia nlikuepo chadema kipindi cha slaa but utafanya nn chama hakina direction ya nchi, nia ya chadema ni kutufikisha wap? mpaka leo sijui, lakini ilani nzima ya ccm na mpango wa maendeleo vision za development kuanzia 2000 mpaka 2050 zpo clear, na zingine zishakua accomplished!

- kingine kikubwa zaidi, swala la usalama wa nchi hio ni bonus kwa ccm, yaani uwezo tu wa kutoka apa kwenda kokote bila kua na hofu ya mashambulizi ni kitu kikubwa sana

- yapo mengi ila itoshe tu kusema wana mapungufu yao mfano upigaji, baadhi ya maamuzi madogo mabaya lakini huezi linganisha na chama kilicho dependant kwa kila kitu watakachosema belgium! hata intelijensia ya chama tu peke yake ni kama hamna, yaani ccm wanawafanya wanavotaka, ni chama kilichokomaa kisiasa! sasa utalinganisha na chama kuanzia mwenyekiti mpaka mfanya usafi wote wana harakati?
 
Kwa hiyo unachotaka kusema kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiwa na baiskeli wakati jirani yako hana hiyo baiskeli ni maendeleo japo uwezekano wa kumiliki gari upo ila haina shida kwa kuwa umemzidi baiskeli jirani yako? Si ndio? Okay ni hivi: CCM haijawa serious na maendeleo ya nchi hii. Swala la kutokuwa na chama mbadala sio justification ya CCM kutufanyia haya inayotufanyia au kutokutufikisha pale tunapostahili kuwa kimaendeleo. JPM japo wengi hawakumpenda kutokana na ubabe wake lakini at least alionekana kutupeleka sehemu. Just imagine kama kasi ya JPM ingekuwa ndio kasi ya CCM tokea 1961 enzi za uhuru sasa hivi tungekuwa wapi? Kwa hiyo unaweza kuona CCM imetuchelewesha sana, tungekuwa na chama tawala makini tungekuwa mbali sana. By the way nakuomba chonde chonde achana na mawazo ya kimaskini ya kujilinganisha na maskini mwenzio, mtu unayemzidi kipato hata kama wewe mwenyewe bado ni maskini. Jaribu kufanya kazi kwa bidii ili ufikie level za watu matajiri (sijui kama unanielewa?) Let me further break it down for you, benchmark yako isiwe kwa unayemzidi baiskeli iwe kwa standard za watu wenye kuafford mambo mengi. Hata sisi Tanzania tuna uwezo wa kufika level za Marekani na Ulaya, hatupaswi kuridhika kwa sababu tunawazidi Kenya au Uganda.
 
Ili uwe mshabiki wa CCM unahitaji sifa 2, either uwenazo zote au japo moja, Nazo ni

Uwe MJINGA
Uwe MWANGA
 

na hii ndo chadema sasa , ever wondered kwanini hua mnabaki wenyewe kwenye majukwaa basi ndo huu upuuzi umeandika apa, who told you development ni aspect ya comparison na western? Je hao western wanataka kufika level ya nchi gan? Kipimo cha development kinalinganishwa na nchi gan?
 

alafu uliniuliza kwanini naipenda ccm nadhan jibu umelipata pia, cha mwisho ni kama unaona ccm ni tatizo basi hamia marekani sehem unadhan wana siasa unazopenda wewe, kaa uko angalau mwaka mmoja ukishindwa kuendelea kimaisha ukaungana na wale black americans mtaani ndo akili itakukaa vizuri
 
Kwa hii comment yako tu nimeshajua upeo wa akili yako. You are too shallow my brother. I'm sorry.
 
Kuwa ccm kunaitaji kujitoa akili KWANZA then unajoin, laki hata usipojitoa akili ukiingia tu zinayeyuka
 
Ukimwona mtu anashabikia CCM ujue anafaidika na dhuluma na manyanyaso wanayofanyiwa Watanzania ambao bahati mbaya waliridhika kuitwa wanyonge huku CCM ikiwanyonga mchana kweupe!!!!!!!!!!!
 
Ukimwona mtu anashabikia CCM ujue anafaidika na dhuluma na manyanyaso wanayofanyiwa Watanzania ambao bahati mbaya waliridhika kuitwa wanyonge huku CCM ikiwanyonga mchana kweupe!!!!!!!!!!!

vp umeshamchangia lema alikua anauza tshirt juzi anataka kusafiri nchi ingine
 
Unashangaa mtu kushabikia CCM na wapo wanao kushangaa wewe kushabikia Chadema ...wapo pia wanao mdharau mkeo/mumeo japo wewe unamuona ni zaidi ya wengine.

Jifunzeni kuzuia ujinga kichwani
 
vp umeshamchangia lema alikua anauza tshirt juzi anataka kusafiri nchi ingine
Ficha upumbavu wako. Mkiambiwa ukiwa ccm akili zinayeyuka mnabisha. Sasa Lema kuuza tshirt inakuhusu nini kama sio ujinga tu. Kwa nini usifocuss kwenye mambo yenye tija badala ya kutoa maneno kama ya wanawake wacheza vigodoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…