Nimekutolea mfano wa nchi ya AFRIKA.....tunaofanana HULKA ,TABIA ,MILA ,TAMADUNI NA HISTORIA wewe unakwenda kunitolea mfano wa MAREKANI....are you serious dude?!!!
Kwa hiyo tunajilinganisha na wamarekani?!!
Wazungu wa Marekani?!!!
Anyway nikujibu kuwa HISTORIA YA MAJIMBO YA TAIFA HILO TUSILOWIANA NALO inatokana na HISTORIA YAO YA UBEBERU.....UBEPARI....UMANGIMEZA.....MASHAMBA MAKUBWA YA KUHIFADHI WATUMWA.....KUFUKUZWA WAZAWA WAHINDI WEKUNDU ....
tunafanana nao?!!!
Bado tunafanana nao?!!!!!
#SiasaNaHistoria
#KaziIendelee