Namshauri Diamond Platnumz amsajili Aslay, WCB

Hakuna niliposema Naenda Kusema imetoka wakati yupo Yamoto Band bali nimesema aliitoa wakati yupo Mkubwa na Wanawe. Na hapo nimekuuliza; Mkubwa na Wanawe ni ya nani na Yamoto Band ni ya nani?

Hilo swali mbona jepesi sana lakini hutaki kujibu?!
 
Swali ni: Yamoto Band ni ya nani na Mkubwa na Wanawe ni ya nani?! Hujajibu hilo swali na wala hayo maelezo yako hayajajibu hilo swali!!!

Na alipokuwa as Solo Artist alikuwa chini ya nani?!
 
Mtoa mada umeshasema aslay ana uwezo wa kufanya kazi bila kundi sasa unataka aende WCB akafanye nn?
 
Hakuna niliposema Naenda Kusema imetoka wakati yupo Yamoto Band bali nimesema aliitoa wakati yupo Mkubwa na Wanawe. Na hapo nimekuuliza; Mkubwa na Wanawe ni ya nani na Yamoto Band ni ya nani?

Hilo swali mbona jepesi sana lakini hutaki kujibu?!
We jamaa unataka kulazimisha X iwe Y, Aslay alikuwa star kabla ya Yamoto Band hivyo vingine unaforce tukuelewe
 
We jamaa unataka kulazimisha X iwe Y, Aslay alikuwa star kabla ya Yamoto Band hivyo vingine unaforce tukuelewe
Jibu swali ndugu!! Alikuwa star kabla ya Yamoto Band wakati huo akiwa chini ya nani?! Na huyo aliyemtoa ni nani linapokuja suala la Yamoto Band? Au unaweza kunitajia wimbo wake mmoja kabla ya Naenda Kusema?

Mbona maswali mepesi sana lakini hutaki kujibu?!
 
Hata sasa hivi ana management nzuri ndo mana anahit, acheni kuwapoteza wasanii wetu , rich toka aingie kule kapoteza ladha ya mziki wake kabisa
 
diamond anatakiwa apate wapinzani...

kina kiba nao wasajili wasaniii...

kila msanii mzuri akienda WCB itakuwa hakuna ladha..

wasanii wanaojiweza wanatakiwa wakomae kivyao ili mashabiki tupate ladha
Kweli kabisa maana Wcb wana ladha moja yaani ni vigumu kutofaitisha vionjo vyao
 
Kama alivomfanya rich
Eeh kuwekwa lebo na wasafi ni jau tu. Sawa na kuajiriwa uanze pangiwa la kufanya na Diamond alivyo mswahili lazma watazinguana tu maana dogo aslay kwa sasa anajua kutunga vitu vya maana zaidi yake ila laizer sijui kama atamuwezea kama huyo producer wake wa sasa muhudumu,likizo,tete,nyaku nyaku ni fire! Na ile mpya ya ndoa dah aslay ni nyoko
 
Aslay ananyota ya kupendwa Tu in a normal way lakini hana nyota ya kung'aa.......sijui mnanielewa vzur waungwana?
 
Huyu mtoto ni motoo na nahis mtoa mada atakuwa mond maana anajua akishaingia wcb tu ndo mwisho wake, angalia mboso toka aingie wcb hajatoa wimbo wowote wenzake aslay , beka wanapeta tu
 
Hakuna niliposema Naenda Kusema imetoka wakati yupo Yamoto Band bali nimesema aliitoa wakati yupo Mkubwa na Wanawe. Na hapo nimekuuliza; Mkubwa na Wanawe ni ya nani na Yamoto Band ni ya nani?

Hilo swali mbona jepesi sana lakini hutaki kujibu?!
Okay... baki na maswali yako na mimi nibaki na majibu yangu maana naona hata haujui wapi tunapopishana.
 
Okay... baki na maswali yako na mimi nibaki na majibu yangu maana naona hata haujui wapi tunapopishana.
Tunapopishana ni pale unaposema Yamoto Band ndiyo imemchelewesha bila kuzingatia ni mmiliki wa Yamoto Band ndie alimwibua Aslay wakati hafahamiki popote!!

But I can understand you guys! Kwa kawaida Wabongo huwa hatu-appreciate wale walio-display vipaji vya watu na mkiona watu waki-shine mnadhani walifika wenyewe hapo walipo bila kufahamu mtaani kuna vipaji kibao lakini havionekani kwa sababu havijapata watu wa kuwatoa!!!

Game la muziki ni gumu kuliko kuwa na kipaji cha kuimba!!! Wangapi wana vipaji na hivi sasa wapo?! Msikilize hata Mayunga! The boy is very talented lakini yupo kimyaa! Hiyo kuonesha game la muziki ni zaidi ya kujua kuimba au kuwa na sauti mzuri!!!!

Anyway, endeleeni kuamini mnavyoamini kwamba "walikuwa wanacheleweshwa" na kwamba hivi sasa wana uwezo wa kupasua anga!!!

Ikiwa hata mkongwe kama Lady JD alishindwa kupasua anga kivyake vyake pasipo na wadau basi Aslay atakuwa ni kiboko kama anao huo uwezo!!!

Ruby walikuwa wanampa kichwa hivi hivi lakini taratibu ndo anapotea hivyo!!!
 
Huyu mtoto ni motoo na nahis mtoa mada atakuwa mond maana anajua akishaingia wcb tu ndo mwisho wake, angalia mboso toka aingie wcb hajatoa wimbo wowote wenzake aslay , beka wanapeta tu
Umewahi kumsikiliza Lavalava amekaa muda gani pale WCB?! Btw, huyo Mboso ametangazwa lini pale WCB? Na kwanini iwe Mboso na isiwe kwa Rayvann, Harmonize na Rich Mavoko?
 
Huyu mtoto ni motoo na nahis mtoa mada atakuwa mond maana anajua akishaingia wcb tu ndo mwisho wake, angalia mboso toka aingie wcb hajatoa wimbo wowote wenzake aslay , beka wanapeta tu
Labels ni utumwa, ndio maana wajanja wanakataaga. Wachache wanahadaikaga na zile usd kadhaa wanazosainia ila baada ya hapo hufanyi kazi unaskilizia tu
 
ni swala la mdaa tu kabla dogo ajampiku daimond, nadhani kilichokuwa kina mchelewesha dogo ni ile yamoto band .... daimond hana cha kumzidi aslay.
Aslay hayupo kimataifa na sioni brand yake ikirumu mwaka humu nchini, nyimbo zake zinafanana!
Beka ni zaidi ya Aslay, hana nyota tu!
 
Baba ako mwenyewe kibakuli kipusa hana vigezo vya kuwa wcb
 
Alikuwa nao unaitwa Uwe nami amemshirikisha temba! Bonge moja la song.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…