Hakuna niliposema Naenda Kusema imetoka wakati yupo Yamoto Band bali nimesema aliitoa wakati yupo Mkubwa na Wanawe. Na hapo nimekuuliza; Mkubwa na Wanawe ni ya nani na Yamoto Band ni ya nani?Yamoto band imeundwa baadae sana baada ya izo ngoma kutoka.
Hakukuwa na yamoto band kipindi cha "naenda kusema" ilikuja baadae sana baada ya wakina enock,mbosso na becka kuja.... nawakati yamoto inaanzishwa na vijana hawa wa nne aslay was a star already(talk of the town).
Hilo swali mbona jepesi sana lakini hutaki kujibu?!