Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari serikali imeshapata message kuhusu Bodaboda na vicoba sasa Lema elekeza mashambulizi kwenye mambo mengine. Mfano ujenzi holela wa nyumba ni laana!Kumbe basi kwasababu hakuna mikopo inayoeleweka ndio maana hao wamama wanafanya shughuli za Vicoba, basi mwambieni Lema badala ya kuelekeza lawama zake kwa hao wamama, kuanzia sasa azielekeze kwa serikali isiyotoa mikopo inayoeleweka kwa watu wake.
View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!
Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
Kumbe Lema hajui pakupeleka lawama zake, tatizo hapa ni CCM na serikali yake, hao wamama wa Vicoba na bodaboda anawaonea tu, hao ni wananchi wanaohangaika kujitafutia mkate wao baada ya kufelishwa na sera mbovu za serikali iliyopo madarakani.The issue is CCM should not glorify Vicoba! Itaute means za kuwawezesha wanawake kwenda juu!
Hiyo nayo ni laana huko China.
Thailand ni laana vile vile! Walituonya tujiepushe na kupanda hizo kitu! Ajali nyingi sana.
View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!
Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!
Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
Na aliwafananisha na mbwa na wakashangilia
Safi sana Lema..View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!
Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
Si unaona jinsi hata bodaboda za China zilivyo hatari sio wote wanavaa helmet na ajali ni nyingi. Wagonjwa wengi walioko mahospitalini vitengo vya mifupa ni waendesha bodaboda na abiria wao! Ulizia ujue ukweli wa jambo hili utaelewa kwanini hii ni laana.
Uongo at its best!,bodaboda aweze kufanya yote hayo ni noble lie, mimi sio politicians usiniongopee,nipo huku lingusenguse naiona hali halisi on the groundKuna bodaboda wanasomesha watoto, wamepanga nyumba wana familia na wanajenga. Au labda unasema watanzania wote wanatakiwa wawe matajiri?
Ndoa yako imevunjika sababu huwezi kazi usisingizie vikoba. Wengi tukikwama tunachukua mikopo vikoba.Safi sana Lema..
Vikoba ni Laana kuu kabisa
Ndoa za watu zinavunjuka, familia za watu zinasambaratika, familia zinabaki masikini kisa vikoba.
Kamatia hapohapo Lema.
Jamani Happy ..mamboNdoa yako imevunjika sababu huwezi kazi usisingizie vikoba. Wengi tukikwama tunachukua mikopo vikoba.