Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

Kumbe basi kwasababu hakuna mikopo inayoeleweka ndio maana hao wamama wanafanya shughuli za Vicoba, basi mwambieni Lema badala ya kuelekeza lawama zake kwa hao wamama, kuanzia sasa azielekeze kwa serikali isiyotoa mikopo inayoeleweka kwa watu wake.
Tayari serikali imeshapata message kuhusu Bodaboda na vicoba sasa Lema elekeza mashambulizi kwenye mambo mengine. Mfano ujenzi holela wa nyumba ni laana!
 
View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!

Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?

Tafuta hela kijana, hizi hasira zako zote zielekeze kwenye kutafuta hela
 
The issue is CCM should not glorify Vicoba! Itaute means za kuwawezesha wanawake kwenda juu!
Kumbe Lema hajui pakupeleka lawama zake, tatizo hapa ni CCM na serikali yake, hao wamama wa Vicoba na bodaboda anawaonea tu, hao ni wananchi wanaohangaika kujitafutia mkate wao baada ya kufelishwa na sera mbovu za serikali iliyopo madarakani.

Kutumia maneno kama "laana" au "dhiki" ni kutowaheshimu wale wanaohangaika, vyema achague maneno, na ajue wapi pakupeleka lawama zake.
 
Tayari serikali imeshapata message kuhusu Bodaboda na vicoba sasa Lema elekeza mashambulizi kwenye mambo mengine. Mfano ujenzi holela wa nyumba ni laana!
20230304_183229.jpg

Serikali ya awa nao atawapelekea lini ujumbe kuwa wafute hii laana?
 
Huyu kuna muda aliweza kukosoa watoto wa viongozi kusoma nje, sasa yeye wanae kusoma nje ni sawa tu.
 
View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!

Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
1678515922524.png
 
Chama cha Mambuzi ni kichefuchefu mara 50 ya huyu mbulula....

Watanzania mkombozi wao kashalala...sasa hv ni walamba asali tu...inasikitisha mno...
 
Mambo yake muachieni mwenyewe, yasiwaumize kichwa...
 
View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!

Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
Safi sana Lema..
Vikoba ni Laana kuu kabisa

Ndoa za watu zinavunjuka, familia za watu zinasambaratika, familia zinabaki masikini kisa vikoba.

Kamatia hapohapo Lema.
 
View attachment 2545599

Serikali ya awa nao atawapelekea lini ujumbe kuwa wafute hii laana?
Si unaona jinsi hata bodaboda za China zilivyo hatari sio wote wanavaa helmet na ajali ni nyingi. Wagonjwa wengi walioko mahospitalini vitengo vya mifupa ni waendesha bodaboda na abiria wao! Ulizia ujue ukweli wa jambo hili utaelewa kwanini hii ni laana.
 
Kuna bodaboda wanasomesha watoto, wamepanga nyumba wana familia na wanajenga. Au labda unasema watanzania wote wanatakiwa wawe matajiri?
Uongo at its best!,bodaboda aweze kufanya yote hayo ni noble lie, mimi sio politicians usiniongopee,nipo huku lingusenguse naiona hali halisi on the ground
 
Safi sana Lema..
Vikoba ni Laana kuu kabisa

Ndoa za watu zinavunjuka, familia za watu zinasambaratika, familia zinabaki masikini kisa vikoba.

Kamatia hapohapo Lema.
Ndoa yako imevunjika sababu huwezi kazi usisingizie vikoba. Wengi tukikwama tunachukua mikopo vikoba.
 
Back
Top Bottom