Uchaguzi 2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

Unampa moyo mtu ambaye hana adabu hata kidogo.Tulidhani alivyozunguka Ulaya na Marekani alivuna ustaarabu lakini ukweli huyo Bwana alichovuna ni ushenzi wa kuongea ovyoovyo na matusi.
Vilevile sikutegemea mtanzania kama Lissu awe na imani dhalili kwamba bila Mzungu nchi yetu haiwezi kufanya kitu chochote.Naamiini huyu mtu ameathirika kisaikologia,ni mgonjwa.
 
Afutwe kwa kosa gani? lini hao tume waliwahi kumuandikia malalamiko yao halafu Lissu akashindwa kuwajibu?
Watafanya tu kwa kiburi. Kama walivyo waengua wabunge wa upinzani unlawfully
 
Huna uwezo kama libya wala misri
 
Hakuna kiumbe ambacho kiliwahi kutumia njia ya kuwa kondoo kikasalimika mbele ya adui zake!
 
Hizi keyboard zinasaidia sana kuokoa maisha ya Watanzania kuliko unavyodhania. Kufika mwaka 2017 Desemba Ben Saanane, Azory na wale wa Mkuranga na Rufiji walikuwa wanachinjwa kama kuku. Akina Tundu Lissu walikwisha jeruhiwa, akina Roma na MoDewji walikwisha tekwa.

Ni SISI tunaoitwa KEYBOARD worriors ndiyo tumekomaa tumepaza sauti mpaka wale wauaji chini ya Makonda na kikundi cha Wasiojulikana wakakoma au kupunguza vitendo vyao.
 
Dikteta uchwara magu amewasema wengine vibaya,kuonea watu,kupiga, kuteka na kutumbua wengine kwa hila kwa muda wa miaka mitano mfululizo,sasa acha na yeye asemwe.
 
Ndani ya hizo siku saba chama kimsaidie kufanya kampeni za nguvu mikoani kote, ikiwa ni pamoja na kuitisha harambee za nguvu kwa ajili ya pigo moja lenye nguvu, PIGO LA KUANGUSHA LIMBUYU 2020!

MAANA: NI YEYE!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 
umesahau upuuzi uliofanywa na magu kwa miaka mitano mfululizo?
 
Mwenye Busara huona mabaya na kujificha, bali mpumbavu huenda mbele na kuumia. Ni maombi ya watanzania karibia wote, Amani, Amani, Amani. Adui wa Amani, iwe kwa maslahi yake binafsi, mabeberu wake, ni adui wa Taifa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
 
Lissu mwepesi tu halafu muoga kama kunguru. Ndiyo mikutano yake yote anafanyia nyumbani kwake.
Hivi nyie wenzetu huwa mnakuwa binadamu mlio na akili timamu kabisaaaa au mkiwa ccm mnageuka kuwa robots hata robot huwa haziwi pumbavu kama nyinyi vijana wa polepole
Nahisi polepole amewaambukiza ujinga na upumbavu
 
Ha ha ha Harambee ya nguvu ya nini wakati mmepewa ruzuku?. Au mnataka mvune za lala salama nini?.
 
Hapo ndo patamu zaidi!! Hakuna mtanzania atakayekubali hilo. Na kabla ya uchaguzi tu Chadema watuhamasishe tuingie mtaani.
CCM HAKUNA KUCHEKA NAO. UKICHEKA NAO UNAVUNA MABUA KWELI.

MWAKA HUU LAZIMA KIELEWEKE
Unao ubavu huo mitaani au ni hapa JF tu??
 
No excuse ,kama mgombea wenu engine imenock mnataka wote tukae kumsubiria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…