Unampa moyo mtu ambaye hana adabu hata kidogo.Tulidhani alivyozunguka Ulaya na Marekani alivuna ustaarabu lakini ukweli huyo Bwana alichovuna ni ushenzi wa kuongea ovyoovyo na matusi.Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Vilevile sikutegemea mtanzania kama Lissu awe na imani dhalili kwamba bila Mzungu nchi yetu haiwezi kufanya kitu chochote.Naamiini huyu mtu ameathirika kisaikologia,ni mgonjwa.