Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ndio ninao ubavu huo! Una swali lingineUnao ubavu huo mitaani au ni hapa JF tu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ninao ubavu huo! Una swali lingineUnao ubavu huo mitaani au ni hapa JF tu??
Anaenda kufanyiwa ugangaNini kinasababisha magufuli apumzike mara kwa mara ?
Mnataka kuleta zile habri za Tumuachie MunguNakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Nina uhakika huna ubavu huo wakuingia barabarani ila ni hapa JF tu!Ndio ninao ubavu huo! Una swali lingine
Hakuna injustice yoyote anayofanyiwa Lissu ni upumbavu wake tu anajijaza kiburi kulata sifa.Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Nakubaliana na wewe! Pia ngamia ukimuachia aingize kichwa bandani mwako, atataka aingize na nundu yake!Hapana, asimame ili joto lipoe? No way, Uchaguzi hauwezi kuendeshwa kwa maelekezo ya Magufuli, No way
Umeona eeNakubaliana na wewe! Pia ngamia ukimuachia aingize kichwa bandani mwako, atataka aingize na nundu yake!
Kwa kifupi watazoea...
Umesahau kwamba tulitaka kusoma dua mlipotaka kumuua mkakataz?Angalau wewe unanaoneka una mapenzi ya kweli, wengine wanamtumtumia tundu kama msukulule tu, lkn mwisho wa siku hawajali chochote kuhusu tundu, ...
Wewe utakuwa wa kwanza kukatwa masikioMabeberu!!!!we unafikir watakuepo muda huoo???Ni Mimi,Dada ako,mama ako,wewe na wengine.
Hizi keyboard mnazokalia nyuma yake mnafikir muda huo mtaupata?Nataman hao matembo mnayoyanadi na kuyasema basi yaingize hicho wanachotaka ili tupate joto la machafuko mjue kutofautisha nyeupe na nyeusi.
Kwa dhati kabisa leo nakupongeza kwa hii post🙏Mimi nashauri Mamlaka zinazohusika na mchakato wa Uchaguzi Mkuu, 2020 zitumie busara katika utekelezaji wa MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2020(Chini ya Kifungu cha 124.A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343)
Busara itaepusha mengi maovu ya wenye nia mbaya na Tanzania. Tanzania siyo kisiwa wala haina watu wenye umalaika. Yaliyotokea nchi zingine, wakati wa uchaguzi, yaweza kutokea pia hapa yakaathiri hata hatua kidogo ya maendeleo.
Rai nyingine ni kwa wagombea, ngazi zote, muda uliobaki wajikite katika kuwaeleza wapiga kura Tanzania ya kesho chini ya utawala wao. Waliyokwisha kusema kuhusu wagombea washindani yanatosha. Siyo tu watajijengea imani kwa wapiga kura, lakini wataepusha kubadilishana maneno yanayoweza kuchochea chuki baina ya wafuasi wao.
ENOUGH IS ENOUGH OF DEFAMATION
Napinga Ushauri wako ili kulinda Katiba ya nchi na kanuni za uchaguziNakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Hakuna ujinga yaani aonewe alafu akubaliKutokana na onyo la NEC la kusimama siku saba, nashauri kamati kuu imshauri atii Kwa hili hata kama kaonewa. Waswahili husema Kula na kipofu usimshike mkono...
Unaheshimiwa wakati umeonewa? Umesema mwenyewe kuwa umeonewa, halafu unasema kuwa ukiheshimiwa........io kila Jambo ni nguvu. Ukiheshimiwa kidogo na wewe onesha heshima pia.
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Naungana na Wewe moja kwa moja ! Mimi ni CCM . Nimuombe Sana , Sana Mheshimiwa Tundu Lissu awe mvulivu kwa muda huo wa one Week . Kwanza atakuwa amepata muda wa kutosha wa kupumzika ! Kampeni ya kuzunguka nchi nzima sio Mchezo !! Ni kazi kweli , kweli ! Na ndiyo maana hata Rais Magufuli naye amejipa muda wa kupumzika ! Awe mvumilivu Tundu Lissu .Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu Bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama izo siku 7 kwani katika nafsi zao wanna hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Ccm kwa kijificha kwenye kivuli cha amani,wananchi sasa wanataka HAKI.Mwenye Busara huona mabaya na kujificha, bali mpumbavu huenda mbele na kuumia. Ni maombi ya watanzania karibia wote, Amani, Amani, Amani. Adui wa Amani, iwe kwa maslahi yake binafsi, mabeberu wake, ni adui wa Taifa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
Dunia itawafanyia nini? Kwa sasa kila mtu yupo kwenye ujisaidie mwenyewe mode........zaidi watatoa tu maneno yao yakupeana moyo ndo imekwisha hioBora afanye kampeni na wajaribu kumzuia ili dunia ione na ikusanye vizuri ushahidi juu ya hawa wauaji na watu wenye roho mbaya
Ingawa hili tu la kumzuia kufanya kampeni kwa siku 7 ni ushahidi tosha