Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.
Na hii itasaidia sana kuimarisha na kudumisha misingi ya demokrasia nchini, lakini pia itasitawisha pakubwa heshima na utii kwa utawala wa sheria na siasa za kistaarabu za vyama vingi nchini.
Napendekeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na adhabu nyingine za kisheria kwa viongozi wake waandamizi wa kitaifa waliokosa adabu kisheria, namshauri msajili wa vyama vya siasa nchini aifutie usajili chadema mara moja.
Msajili wa vyama vya siasa asiogope wala kusita kuchukua hatua hiyo muhimu, sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu na demokrasia kwa ujumla.
Mungu Ibariki Tanzania.
Soma pia