Namshauri Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Kuifutia Usajili CHADEMA

Namshauri Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Kuifutia Usajili CHADEMA

Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.

Na hii itasaidia sana kuimarisha na kudumisha misingi ya demokrasia nchini, lakini pia itasitawisha pakubwa heshima na utii kwa utawala wa sheria na siasa za kistaarabu za vyama vingi nchini.

Napendekeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na adhabu nyingine za kisheria kwa viongozi wake waandamizi wa kitaifa waliokosa adabu kisheria, namshauri msajili wa vyama vya siasa nchini aifutie usajili chadema mara moja.

Msajili wa vyama vya siasa asiogope wala kusita kuchukua hatua hiyo muhimu, sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu na demokrasia kwa ujumla.

Mungu Ibariki Tanzania.

Soma pia
Ali Mohamed Shein alitoa kauli hii wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) visiwani Zanzibar.

“ wanasiasa vijana ya kutumia fitina, majungu, na kuwaharibia sifa wenzao ili kupata uteuzi au kushinda nafasi za ndani ya chama na serikalini. Alisisitiza kuwa uongozi thabiti unajengwa kwa kuonesha uwezo binafsi wa kiakili na kupendekeza njia mbadala za kutatua kero za jamii.

Gentleman.
 
Yes,
Dr SheIn alieleza ukweli mtupu, kwamba kama vijana, haiwezekani kukaa kimya wakati sheria na katiba ya nchi inakiukwa waziwazi na kwa makusudi halafu tukae kimya.

Lazima tuchukue hatua stahiki,
ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri mahususi kwa mamlaka za serikali sikivu ya CCM, kama vile ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini, kwamba aifute chadema mara moja kwani ina kiuka sheria na katiba ya nchi, na kuvuruga ustawi wa demokrasia ya vyama vingi nchini.

So,
naunga mkono kauli ya Dr SheIn kwa maneno na vitendo. Chadema IFUTWE haraka sana 🐒
 
Alisisitiza kuwa uongozi thabiti unajengwa kwa kuonesha uwezo binafsi wa kiakili na kupendekeza njia mbadala za kutatua kero za jamii.

Basi vifanyike hivyo alishauri Dr Shein. Tuache siasa za majungu. Chadema sio tatizo.

Ata ikifutwa bado wananchi hatutoacha kunyoosha vidole kutokana na utendaji wa serikali ya sasa.
 
Basi vifanyike hivyo alishauri Dr Shein. Tuache siasa za majungu. Chadema sio tatizo.

Ata ikifutwa bado wananchi hatutoacha kunyoosha vidole kutokana na utendaji wa serikali ya sasa.
wew ndio una hisi chadema sio tatizo, lakini ukweli ni kwamba, sote ni mashuhuda kwamba chadema inakiuka sheria wazi wazi kabisa tena kwa makusudi, na hivyo ina haki ya kufutwa mara moja 🐒
 
hizo porojo useless hazina athari zozote kuelekea kufutwa kwa chadema kama ambavyo nimemshauri msajili wa vyama vya siasa nchini gentleman,

ni muhimu sana kua mstahilivu na mwenye subra gentleman 🐒
Sawa mshauri wa msajili,Nyahoza na ccm
 
Back
Top Bottom