nadhani ungejikita kwenye ukweli uliosheheni ndani ya hoja yangu mahususi mezani ingependeza zaidi.
hizo hisia zako nadhani sio muhimu sana, right?
Ni muhimu sana msajili wa vyama vya siasa nchini akaifuta chadema rasmi kisheria kwasababu imeshindwa kuzingatia masharti mahususi ya usajili wake kisheria 🐒
Mkuu Tieta, kwa ugeni wako humu toka Oct 31, 2025, kuna members humu hutujui vizuri, mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, hivyo sina sababu ya kujipendekeza kwa CCM, nijipendekeze ili iweje?.
Mimi sio kada kujipendekeza, mimi kada Mzalendo, nikitanguliza mbele maslahi ya taifa, kisha ndipo maslahi ya chama. Hili nimelisemea humu mara nyingi. Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!
View attachment 3588661
P.
Tunafuata footsteps za boss wetu, waandamaji wasio na silaha, tumewajibu kwa za moto!.Uncle vita ya panga umekuja na bunduki haha
Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , kwanza Naunga mkono hoja, mimi hili nilishauri siku nyingi toka kitambo sana, Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Walipotoa ile movie ya ile video ya Rwakatare, niliandika , Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!, tena sikuishia kwa Chadema tuu, nilishauri vyama vingine vyote vifutwe, tuwe nchi ya chama kimoja, na CCM itawale milele! The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Na nikawasisitiza Watanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Na kuna bandiko humu nilitoa ushauri wangu huu
P
sio vizuri kuendekeza upotoshaji, uongo na uzushi usio na maana kuhusu vyama vya siasa nchini gentleman.Kuna vyama havina mwenyekiti na havifutwi,
Kuna vyama havifanyi hata vikao vya kamati kuu zao, na bado ni vyama hai,
Kuna vyama vinatokea wakati wa uchaguzi tu na kwenye sherehe za uhapisho na msajiri anaviacha
Chaguo la watanzania wengi, chadema wakisema kitu ni mabarua kibao 😄
Mwalimu Pascal Mayalla, Tumsifu Yesu Kristo.Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , kwanza Naunga mkono hoja, mimi hili nilishauri siku nyingi toka kitambo sana, Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Walipotoa ile movie ya ile video ya Rwakatare, niliandika , Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!, tena sikuishia kwa Chadema tuu, nilishauri vyama vingine vyote vifutwe, tuwe nchi ya chama kimoja, na CCM itawale milele! The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Na nikawasisitiza Watanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Na kuna bandiko humu nilitoa ushauri wangu huu
P
Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.
Na hii itasaidia sana kuimarisha na kudumisha misingi ya demokrasia nchini, lakini pia itasitawisha pakubwa heshima na utii kwa utawala wa sheria na siasa za kistaarabu za vyama vingi nchini.
Napendekeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na adhabu nyingine za kisheria kwa viongozi wake waandamizi wa kitaifa waliokosa adabu kisheria, namshauri msajili wa vyama vya siasa nchini aifutie usajili chadema mara moja.
Msajili wa vyama vya siasa asiogope wala kusita kuchukua hatua hiyo muhimu, sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu na demokrasia kwa ujumla.
Mungu Ibariki Tanzania.
Soma pia
Mwalimu Pascal Mayalla, Tumsifu Yesu Kristo.
kwanza kabisa nashukuru kwa kuunga mkono ushauri na pendekezo langu kwa msajili wa vyama vya siasa nchini dhidi ya chadema kufutiwa usajili.
lakini pili pole kwa majukumu na hongera kwa kazi za leo.
Mwalimu,
nimechelewa kureply comment yako ili kuepuka kuingia kichwa kichwa, kwasababu ndani yake umeambatanisha reference za kutosha kama kawaida yako as professional journalist but also a full lecture of law.
Kwasababu hizo, imenichukua muda wa kusoma na kutafakari niandike nini kuhusu comment yako.
Further more,
nimesoma kwa umakini sana bandiko lako la tar Oct.26.2013 Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Na nikafuatilia conversation yako na katibu mkuu wa chadema wakati huo Dr.Slaa, lakini pia na maelezo ya msemaji wa chadema J.J.Myika wakati huo, wote wakilenga kuisafisha chadema dhidi ya tuhuma za kua inaendeshwa kwa katiba fake na athari zake ikithibitika kua inaendeshwa kifeki.
Lakini pia,
nimesoma kwa umakini sana bandiko lako la Febr.18.2018 Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba! na nikafuatilia conversation yako na msajili wa vyama vya siasa nchini wakati huo hayati John Tendwa, japo mlikua mkijadiliana kwa lugha ya kisheria ya ndani sana, lakini mahojiano yale yalikua muhimu sana kwa heshima ya vyama vya siasa na ustawi wa demokrasia ya vyama vingi nchini kuzingatia sheria na masharti ya usajili wao.
Katika makala zote hizo mbili nilizozisoma kati ya 4 ulizoziambatanisha kama reference kuihusu chadema, nadhani wadau makini wa JF, sasa wanaweza kuelewa na kukukubaliana na pendekezo langu na ushauri wangu kwa msajili wa vyama vya siasa kuifuta chadema kwenye orodha ya vyama vya siasa nchini, kwasababu tabia ya chadema kukiuka sharia haijaanza leo, na sio mara ya kwanza kwa chadema kukiuka sharia za vyama vya siasa na katiba ya nchi.
2013, 2018 mimi sikuwepo JF, lakini uthibitisho wa chadema kukiuka sheria mara kwa mara upo tena kimaandishi kabisa.
Asante kwa uthibitisho huu kwa uchache mwalimu.
Mwalimu Pascal Mayalla nakushukuru sana kwa kuipa nguvu hoja yangu na uzito unaostahili, tena kwa uthibitisho wa kimaandishi, na kwamba sasa ni wakati muafaka sana kwa msajili wa vyama vya siasa, kuifutilia mbali chadema kwenye orodha ya vyama vya siasa nchini, kwa ukiukaji wake mkubwa sheria za vyama vya siasa na katiba ya nchi.
Nakushukuru sana mwalimu na nakutakia usiku mwema 👊
Wazo sahihi, siku za nyuma ccm ilifanikiwa kuua na kifubaza vyama vya upinzani vyenye nguvu. Lakini kwa sasa kizazi kimebadilika, na mbinu zilizofanya kazi huko nyuma kwa sasa zimeshindwa kufanya kazi dhidi ya cdm, kwani cdm sio chama cha siasa tu, bali ni movement. Hivyo namna pekee ni kukifuta, maana kukiua imeshindikana kwani Kiko ndani ya mioyo ya wananchi. Lakini wakati ukuta, haya cdm ifutwe, mwisho wa ccm umeshafika.Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.
Na hii itasaidia sana kuimarisha na kudumisha misingi ya demokrasia nchini, lakini pia itasitawisha pakubwa heshima na utii kwa utawala wa sheria na siasa za kistaarabu za vyama vingi nchini.
Napendekeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na adhabu nyingine za kisheria kwa viongozi wake waandamizi wa kitaifa waliokosa adabu kisheria, namshauri msajili wa vyama vya siasa nchini aifutie usajili chadema mara moja.
Msajili wa vyama vya siasa asiogope wala kusita kuchukua hatua hiyo muhimu, sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu na demokrasia kwa ujumla.
Mungu Ibariki Tanzania.
Soma pia
Naunga mkono hoja.Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.
Na hii itasaidia sana kuimarisha na kudumisha misingi ya demokrasia nchini, lakini pia itasitawisha pakubwa heshima na utii kwa utawala wa sheria na siasa za kistaarabu za vyama vingi nchini.
Napendekeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na adhabu nyingine za kisheria kwa viongozi wake waandamizi wa kitaifa waliokosa adabu kisheria, namshauri msajili wa vyama vya siasa nchini aifutie usajili chadema mara moja.
Msajili wa vyama vya siasa asiogope wala kusita kuchukua hatua hiyo muhimu, sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu na demokrasia kwa ujumla.
Mungu Ibariki Tanzania.
Soma pia
kizazi kipi kimebadlika gentleman?Wazo sahihi, siku za nyuma ccm ilifanikiwa kuua na kifubaza vyama vya upinzani vyenye nguvu. Lakini kwa sasa kizazi kimebadilika, na mbinu zilizofanya kazi huko nyuma kwa sasa zimeshindwa kufanya kazi dhidi ya cdm, kwani cdm sio chama cha siasa tu, bali ni movement. Hivyo namna pekee ni kukifuta, maana kukiua imeshindikana kwani Kiko ndani ya mioyo ya wananchi. Lakini wakati ukuta, haya cdm ifutwe, mwisho wa ccm umeshafika.
Pombe mbaya sana hasa kwa ma lady boys kama wewechangia mjadala kwa hekima gentleman, itapendeza zaidi 🐒
Akisha ifuta ccm na vyama vyake vikaragosi ndiyo aje Chadema.sio vizuri kuendekeza upotoshaji, uongo na uzushi usio na maana kuhusu vyama vya siasa nchini gentleman.
chadema inastahili kufutwa kwasababu ya ukiukaji wa sheria za nchi wa wazi wazi na usio na shaka.
Na hakuna namna chama hicho kinaweza kukwepa hatua hiyo muhimu sana ya kukifutia usajili 🐒
Wewe unanilisha maneno huwa chawa pekee ndiye kiumbe anayelishwa maneno na hatimaye kuyatapika kama yalivyo bahati nzuri mimi siyo chawa.hoja mahususi mezani inahusu chadema gentleman, huna haja ya kuweweseka plz 🐒
hizo porojo useless hazina athari zozote kuelekea kufutwa kwa chadema kama ambavyo nimemshauri msajili wa vyama vya siasa nchini gentleman,Wewe unanilisha maneno huwa chawa pekee ndiye kiumbe anayelishwa maneno na hatimaye kuyatapika kama yalivyo bahati nzuri mimi siyo chawa.