Vijana kama wewe wana mchango mdogo sana kwenye taifa letu huruKama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana kwa muda mrefu, na nimethibitisha na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.
Hii itasaidia sana kuimarisha na kudumisha misingi ya demokrasia nchini, lakini pia itasitawisha pakubwa heshima na utii kwa utawala wa sheria na siasa za kistaarabu za vyama vingi nchini.
Napendekeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, pamoja na adhabu nyingine za kisheria kwa viongozi waandamizi wake wa kitaifa waliokosa adabu kisheria, namshauri msajili wa vyama vya siasa nchini ifutiwe usajili chadema mara moja.
Msajili wa vyama vya siasa asiogope wala kusita kuchukua hatua hiyo muhimu, sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Gentleman,Vijana kama wewe wana mchango mdogo sana kwenye taifa letu huru
Napinga utekaji ,ufiraji ,mauaji yanayofanywa na CCM kukandamizwa kwa siasa n.k
Gentleman,Nafikiri wewe hujamjua adui halisi wa chama chenu....
Muda ni mwalimu mzuri sana....
Safari hii mmeyakanyaga *****....
Mwashambwa inaeleweka chama ulichopo ni shamba darasa la upumbavu uliokomaa.Jikite kwenye hoja mahususi gentleman na itapendeza zaidi
Yes gentleman,Mwanadiplomasia wa buza au 😄
Anyway futeni tu mfumo wa vyama vingi mbaki chama kimoja tu
Ova
Futeni mfumo wa vyama vingi tu mbakie wenyeweYes gentleman,
Buza kwa Lulenge,
Gentleman,
ushauri na pendekezo langu kwa msajili wa vyama vya siasa ni kuifuta chadema pekee kama chama cha siasa kinacho kukiuka sheria za vyama vya siasa nchini, ili kuimarisha demokrasia, utii wa sheria bila shuruti na kusitawisha utawala wa sheria nchini.
Mfumo wa vyama vingi nchini ni madhubuti na hauna changamoto yoyote ya kisheria, kimuundo au kiutendaji
Bichwa tupuKama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.
Na hii itasaidia sana kuimarisha na kudumisha misingi ya demokrasia nchini, lakini pia itasitawisha pakubwa heshima na utii kwa utawala wa sheria na siasa za kistaarabu za vyama vingi nchini.
Napendekeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na adhabu nyingine za kisheria kwa viongozi wake waandamizi wa kitaifa waliokosa adabu kisheria, namshauri msajili wa vyama vya siasa nchini aifutie usajili chadema mara moja.
Msajili wa vyama vya siasa asiogope wala kusita kuchukua hatua hiyo muhimu, sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu na demokrasia kwa ujumla.
Mungu Ibariki Tanzania.
Soma pia
nasisitiza kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman,Mwashambwa inaeleweka chama ulichopo ni shamba darasa la upumbavu uliokomaa.