Namshauri Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Kuifutia Usajili CHADEMA

Bichwa tupu
muerevu bitchwa kubwa lenye madini,
mwaga madini mapya basi na mbadala ambayo ni bora zaidi ya ushauri na pendekezo langu kwa msajili wa vyama vya siasa nchini dhidi ya chadema na itapendeza sana aise.

epuka mihemko nonsense
 
Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , kwanza Naunga mkono hoja, mimi hili nilishauri siku nyingi toka kitambo sana, Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Walipotoa ile movie ya ile video ya Rwakatare, niliandika , Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!, tena sikuishia kwa Chadema tuu, nilishauri vyama vingine vyote vifutwe, tuwe nchi ya chama kimoja, na CCM itawale milele! The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

Na nikawasisitiza Watanzania Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Na kuna bandiko humu nilitoa ushauri wangu huu
P
 
Makosa yaleyale kutokana na ushauri wa akina Tlatlah,Mwashamba,Mr,Nguchiro,na akina Mr Majalala!
 

😄 🤣 😂 😆 😄

Rais wa zanzibar na wanainchi wa zanzibar wanaita umoja wa kuongea na kurekebishana kwenye mambo ya siasa

Huku kwetu tupo kivyetu vyetu

Kama tumerogwa 😄

Now naanza kuamini ile kauli kuwa kuna watu kutoka inchi zingine wapo kwenye mifumo yetu ya uamuzi

Haya mawazo sio ya mtanzania,

Tunapigishwa shot
 
muerevu bitchwa kubwa lenye madini,
mwaga madini mapya basi na mbadala ambayo ni bora zaidi ya ushauri na pendekezo langu kwa msajili wa vyama vya siasa nchini dhidi ya chadema na itapendeza sana aise.

epuka mihemko nonsense

muerevu bitchwa kubwa lenye madini,
mwaga madini mapya basi na mbadala ambayo ni bora zaidi ya ushauri na pendekezo langu kwa msajili wa vyama vya siasa nchini dhidi ya chadema na itapendeza sana aise.

epuka mihemko nonsense
Bichwa tupu uchawa utakuua
 
Bichwa tupu uchawa utakuua
Bright head changia bas ili wadau wa JF waongeze uelewa na ufahamu wao kutokana na uerevu wako?

lakini La muhimu zaidi nadhani msajili wa vyama vya siasa aifute chadema rasmi kisheria 🐒
 
nasisitiza kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman,
lakini pia ustaarabu ukitawala kwenye mjadala, inapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela nonsense jukwaani,

okey?
Lucas acha porojo za kujiapaka Limau na kujidanganya hauonekani.
 
nadhani ungejikita kwenye ukweli uliosheheni ndani ya hoja yangu mahususi mezani ingependeza zaidi.

hizo hisia zako nadhani sio muhimu sana, right?
Ni muhimu sana msajili wa vyama vya siasa nchini akaifuta chadema rasmi kisheria kwasababu imeshindwa kuzingatia masharti mahususi ya usajili wake kisheria 🐒
 
Lucas acha porojo za kujiapaka Limau na kujidanganya hauonekani.
limao si kwaajili ya kachumbari gentleman,
halafu,
unaeleza ati Mimi sionekani?
Yaani nipo Tanzania halafu nisionekane?

au unataka tuonane macho kwa macho gentleman ikikupendeza?

hata hivyo,
jambo muhimu zaidi ni msajili wa vyama vya siasa kuifuta chadema mara moja kwa maslahi mapana ya taifa 🐒
 
Huyu jamaa anataka sana kujipendekeza kwa CCM. Anaoneshwa amebanwa sana na chama cha kijani sasa anatafuta atatokaje. Nonsense
Mkuu Tieta, kwa ugeni wako humu toka Oct 31, 2025, kuna members humu hutujui vizuri, mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, hivyo sina sababu ya kujipendekeza kwa CCM, nijipendekeze ili iweje?.

Mimi sio kada kujipendekeza, mimi kada Mzalendo, nikitanguliza mbele maslahi ya taifa, kisha ndipo maslahi ya chama. Hili nimelisemea humu mara nyingi. Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!

P.
 

Hawezi na hana uwezo huo ! Kama angeweza angeshafanya kama Machawa mnavyotaka. Sababu ya kushidwa ni moja tu. Chadema ina wanachama karibu ya 10M na wanaungwa mkono na Watanzania wengi. Kufuta Chadema hao watu milioni 10 hawataenda CCM , na sisi watanzania wengi ambao hatuna vyama hatutaunga mkono ukoloni wa CCM hivyo hamtaweza kufanya hilo . Polisi hawawezi kuuwa wote
 
Kama anataka afi...rw ..e mpk kwenye huo upara wake athubutu.. ya oct 29 itakuwa cha mtoto.
 
relax bas gentleman,
tayari nimependekeza na kumshauri msajili wa vyama vya siasa cha kufanya kuhusu chadema.

huna haja ya kuweweseka hata kidogo, ni vizuri ukawa mstahimilivu na mwenye subra wakati msajili akiendelea na wajibu wake.

huna haja ya kuleta porojo zaidi 🐒
 
Futeni mfumo wa vyama vingi tu mbakie wenyewe

Ova
Gentleman,
vyama vingine vya siasa nchini, vinafanya kazi zao za siasa kwa kufuata sheria na bila kuporomosha matusi. Hii ikimaamisha, mfumo wa siasa za vyama vingi Tanzania uko madhubuti na hauna changamoto yoyote ile, na kwahiyo utaendelea kuwepo 🐒
 
Kama anataka afi...rw ..e mpk kwenye huo upara wake athubutu.. ya oct 29 itakuwa cha mtoto.
changia mjadala kwa hekima gentleman, itapendeza zaidi 🐒
 
Mimi nataka kuona kinabaki chama kimoja ambacho ni ccm tu

Ova
 
Hata ikifutwa wanachama wake wako pale pale watasajili chama kingine kwa jina lingine upepo bado uko pale pale
 
Kabla hajafany⁹a hivyo ahakikishe ameshafanikiwa kuwafutia usajili ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…